Ulimwengu wa majini na mambo niliyoshuhudia na kujifunza kwao

Ulimwengu wa majini na mambo niliyoshuhudia na kujifunza kwao

Level niliyopo ni kubwa mno mkuu wangu. Siongei na mimea ninawasiliana na mbingu Moja kwa moja
. nakushaur mkuu fanya astral plojection ili uende ukapat kufahamu kuhusiana na mamb yote amby unayaon kweny ulimweng wa kimwili huyaelew mana itakusaidia kit kuptia huko utakuw unaelew kila kit kinachokuzungka hata ukitaku kuongea na mnyama yoyot na mukaelewan bila shida yoyot hat mimea pia kwa ujumla utaelew mengi l
 
Asalaam alykm...

Napenda na nimevutiwa na unavyojibu maswali yetu kwa unyenyekevu mkubwa na kwa busara kabisa... Nahisi anayetujibu ni huyu jin mwema! Au la kama ni wewe basi sishangai watu wanaokutembelea na ukatatua shida zao.

SWALI LANGU

Je mwenyezi Mungu, ameruhusu tushirikiane na hawa majini wema? Kama ndivyo kwa nini tumeaminishwa kwenye baadhi ya dini hizi za kizungu kuwa majini ni mashetani na pepo wachafu, kiasi kwamba tukisikia jini unajua ni jitu haribifu tu?

Asante mengi nitakuja inbox.
A aruhuhusu lakini utajuaje hili ni jema?
 
Mkuu Buraq Mustapha au yeyote mwenye kujua, kuna member aliwahi kuelezea kitu flani kuhusu kusafisha mwili kama ulilishwa vitu vya ajabu na kuongeza nguvu kiroho njia yake ni mfungo wa kula matunda tu kwa siku saba

Je ni kweli? Na pia kuna njia nyingine yoyote ya ukuaji kiroho yaani kuwa na nguvu nyingi za kiroho?)(Tuachane na meditation maana wengine imetushinda)

Yeyote mwenye kujua elimu tafadhali ninakuomba unijuze, naimani wengine watajifunza mawili matatu
Kupitia maombi Toba na utakaso kuishi kwa kufanya agano na Mungu nje ya mifumo ya dini unafikia huko vizuri kabisa. Kujiunganisha na walinzi wa Nuru
 
Kupitia maombi Toba na utakaso kuishi kwa kufanya agano na Mungu nje ya mifumo ya dini unafikia huko vizuri kabisa. Kujiunganisha na walinzi wa Nuru
Hapa ndipo ninaposota sana, upweke unanifanya kufikiria vitu vya ajabu sana na kufanya vitu ambavyo najitahidi kujizuia.... Inaoneksna kabisa dhambi haiepukiki
 
Level niliyopo ni kubwa mno mkuu wangu. Siongei na mimea ninawasiliana na mbingu Moja kwa moja
hyo level uliyop kwang mm ndo ilikuw level ya kuamka now nipo mbali mno kunifikia unahtaji kufany mazoez tena tena tena na tena mkuu
 
Ilmu haina
hyo level uliyop kwang mm ndo ilikuw level ya kuamka now nipo mbali mno kunifikia unahtaji kufany mazoez tena tena tena na tena mkuu
Ilmu haina mwenyewe kaka wapo waliokuwa na ilmu wakaona wamemaliza lakini ikawatoka ikaenda kwa ambao hawana .
Mola awe nawe salama na amani
 
Unaweza kuwaambia watu namna ya kufungua mbingu hadi kuwasilisha mambo huko? Usieleze jambo usilomudu tafadhali
 
Unaweza kuwaambia watu namna ya kufungua mbingu hadi kuwasilisha mambo huko? Usieleze jambo usilomudu tafadhali
 
hyo level uliyop kwang mm ndo ilikuw level ya kuamka now nipo mbali mno kunifikia unahtaji kufany mazoez tena tena tena na tena mkuu
Chief, hiv haya mambo yapo kweli?? Na kwa sisi watu wa dini dini hiz za wazungu je yanawezekana??
Je haya mambo yana uwezo wa kuboresha maisha ya mtu economically??
Unawezaje kuya practise haya mambo, je hayana madhara???
 
Back
Top Bottom