Superhuman 1995
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 1,909
- 3,210
Huo mji wa majini uko sehemu gani hapo iraniSawa sawa
Huo mji wa majini uko sehemu gani hapo iraniSawa sawa
Sitakutajia jina moja kwa moja.Huo mji wa majini uko sehemu gani hapo irani
Hakika nitatoa shuhudaNitakwenda na wewe siku uje utoe ushuhuda, wacha idhini ya kwenda na wewe ipatikane
Kwanini wanapenda kuishi makabulini badala ya kuishi eidha polini au sehemu zisizo Tisha?Sitakutajia jina moja kwa moja.
Ila ni kando kabisa mwa moja ya mji hapo ni njia ya kuelekea kwenye mji mmoja yapo makaburi ya zaidi ya miaka elfu mbili .
Pia sio mbali na mji aliyokuwa akiishi mwanazuoni mmoja maarufu sana.
Makazi yenyewe yapo katika jangwa na utakutana na kijimsikiti kidogo hivi kimejitenga
SawaSiku nikiona inafaa nitakwambia siri ya rangi ya kijani na hata rangi nyingine
Hawa nilionao hawaishi makaburini tafadhali hujanielewa uzuri, lakini wapo ambao huishi baharini, kwenye mapango, majangwani na maeneo mengine. Jini hujipatia maskani yake kulingana na ilmu yake , ukubwa wake na nguvu. Wapo ambao huwa wanaishi angani tuu chini hawafiki. Hawa wa makaburini habari zao ni ndefuKwanini wanapenda kuishi makabulini badala ya kuishi eidha polini au sehemu zisizo Tisha?
Hawa nilionao hawaishi makaburini tafadhali hujanielewa uzuri, lakini wapo ambao huishi baharini, kwenye mapango, majangwani na maeneo mengine. Jini hujipatia maskani yake kulingana na ilmu yake , ukubwa wake na nguvu. Wapo ambao huwa wanaishi angani tuu chini hawafiki. Hawa wa makaburini habari zao niKwanini wanapenda kuishi makabulini badala ya kuishi eidha polini au sehemu zisizo Tisha?
Kilichopo kwako ukinipa ruhusa nitakwambia lakini bila ruhusa yako sitaweza kuzungumza hapa nitakuwa nimeingilia privacy yakosiku bishii mkuu mimwenyewe najionea maajabu .mi nawala mademu kihisia yaani ,hata awe nani ,na utamu anaopata yeye na ndo utamu naopata mimi na kumwaga wanamwaga kama kawa kitu ambacho napata usumbufu mkubwa maana wanawake wanaambiana ,nikiwa na demu hata kabla sija mshika anakojoa.mara ya kwanza hali hii niliiona ya ajabu lakini sasa shazoea,na inabidi uwe mkali kidogo kwa wanawake maana wanakuchukulia dildo hahaha utamu naupata bila hela bila chochote na saa yeyote na usiniambe ni majini mahaba maana majini mahaba ni wandotoni.hahaha
Hawakosekani hawaOoh sawa
Japo wapo wakina Tomaso watakupinga
weongea tu kwafaida ya wengineHawa nilionao hawaishi makaburini tafadhali hujanielewa uzuri, lakini wapo ambao huishi baharini, kwenye mapango, majangwani na maeneo mengine. Jini hujipatia maskani yake kulingana na ilmu yake , ukubwa wake na nguvu. Wapo ambao huwa wanaishi angani tuu chini hawafiki. Hawa wa makaburini habari zao ni
Kilichopo kwako ukinipa ruhusa nitakwambia lakini bila ruhusa yako sitaweza kuzungumza hapa nitakuwa nimeingilia privacy yako
Nipatie ilmu hiiHawa nilionao hawaishi makaburini tafadhali hujanielewa uzuri, lakini wapo ambao huishi baharini, kwenye mapango, majangwani na maeneo mengine. Jini hujipatia maskani yake kulingana na ilmu yake , ukubwa wake na nguvu. Wapo ambao huwa wanaishi angani tuu chini hawafiki. Hawa wa makaburini habari zao ni ndefu
Wewe unae kiumbe mwenye kufanya ushawishi kwa hao wanawake huwa anawavuta na kuwachochea hisia au ashiki lakini uwe nae makiniweongea tu kwafaida ya wengine
tamuondoaje sasa maana hali hii siitaki maana sio nzuriWewe unae kiumbe mwenye kufanya ushawishi kwa hao wanawake huwa anawavuta na kuwachochea hisia au ashiki lakini uwe nae makini
Ni kumtafuta kumpa nasaha akiwa mkaidi ni dawa akikaidi Dua na visomo vingine ni kuweka ukuta baina ya yeye na wewetamuondoaje sasa maana hali hii siitaki maana sio nzuri
Tutazidi kujifunza ndani ya kisa hikiNipatie ilmu hii
Kunamtu nipo nae yanamtesa kweli kweli,yanamzuia asizaeTutazidi kujifunza ndani ya kisa hiki
asante sana mkuu,Ni kumtafuta kumpa nasaha akiwa mkaidi ni dawa akikaidi Dua na visomo vingine ni kuweka ukuta baina ya yeye na wewe
Huyo yupo na viumbe kutoka mahakama ya iblisi huu ndio ukweliKunamtu nipo nae yanamtesa kweli kweli,yanamzuia asizae