MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 9,376
- 25,663
Nipe namna aiseeUnaweza kualika viumbe yaani kuviita na kuja ? kama unaweza itakuwa jambo jepesi kama huwezi nitakwambia namna
Nipe namna aiseeUnaweza kualika viumbe yaani kuviita na kuja ? kama unaweza itakuwa jambo jepesi kama huwezi nitakwambia namna
Endelea na stori Wacha stohaya
Haya bwana
Kalale upumzikeEndelea na simulizi Wacha kutuchosha
Simulia kwanza nipate usingiziKalale upumzike
Shukran mkuu..au mwenye Nia aje tu private..mana wengine watakua wanakuinjoi tu. Pia utatusaidia mana wengine wenye elimu hii wanaringa na dharau sana very selfish na kuchaji pesa nyingi..ila kua makin wanaweza kukufata wakakuambia usitusaidieMwisho wa kisa hiki nitawapatia njia ya kushirikiana na hawa viumbe katika njia mbalimbali
Tuko pamoja, iwapo mtu atakuwa na swali la kibinafsi anaweza kuniuliza tuu bila tatizoShukran mkuu..au mwenye Nia aje tu private..mana wengine watakua wanakuinjoi tu. Pia utatusaidia mana wengine wenye elimu hii wanaringa na dharau sana very selfish na kuchaji pesa nyingi..ila kua makin wanaweza kukufata wakakuambia usitusaidie
Kisimani ulitikaje? Maji yalikuwa kiasi Gani,,, hukuzama?Basi nilipotoka nje ya kisima wenzangu wote sikuwaona walikimbia nyumbani kutoa taarifa. Nilifata njia ya nyumbani huku kwa mbali nikimuona yule mzee akinifata nyuma . Nilifika nyumbani na kukuta watu wa kijiandaa kunifata kisimani kuniokoa. Waliniuliza maswali mengi sana lakini sikujibu yote na hata sikuwaambia juu ya kuololewa kwangu na yule mzee.
SEHEMU YA PILI: Usiku wa siku ile ulivyokuwa baada ya kuzama kisimani.
Kusema kweli sitakaa nisahau usiku wa siku ile, kwani baada ya swala ya magharibi tuu kwenye moja ya muembe uliopo nyumbani nilimuona yule mzee yupo juu amekaa. na ilipofika muda wa saa moja hivi juu ya muembe ule nikaona kunawaka taa na sikuwa naona mtu mmoja tena badala yake niliona watu wengi.
" Dada ona kule juu unawaona wale watu .." nilimuuliza dada angu, lakini alinambia yeye haoni chochote na aliniamuru tuingie ndani .
Baba aliniwekea utaratibu kuwa baada ya swala ya saa mbili niwe nimeshalalala basi baada ya chakula cha usiku nikalala lakini usingizi ulikuwa hauji hata kidogo badala yake yule mzee nilimuona yupo pembeni yangu na wazee wengine na walikuwa mmoja anatoa adhana na takbira na wengine walikuwa wakiniangalia tuu .
Nilitaka kupiga kelele lakini nilinyamaza na nikawa namuita dada yangu .
Niliita sana lakini hakuitika ni kama alikuwa hanisikii. Muda wale wazee niliona nipo nao sehemu nje na pale nyumbani palikuwa ni kama sehemu yenye msikiti hivi au ukumbi fulani mkubwa.
Nikauliza hapa nipo wapi ? Dada Aisha yuko wapi? kijana wa makamo akanijia pembeni na kunambia dada yako yupo nyumbani na hapa ni kwa Ruhaby sultan na Kamal.
Palikuwa ni pazuri sana na nje niliona farasi wazuri sana weupe na wakubwa.
Miti niliyoona ilikuwa ni mtende na palikuwa na ngamia mkubwa sana aliyekuwa na marembo ya kijani na vita vya kijani pia .
Kua na pesa ni uwe na sh ngapi??????Una pesa au huna?
Nipo apa kaka mchawi nitakupambania mkuu🤪🤪🤪Wewe unanijaza bichwa ,wakininywa damu utajua umwambie nini dada yangu
Wamwagie apa apa hadharan mwenye moyo mwepes aache mwenye moyo mzito achukue Elim akawaite viumbeTuko pamoja, iwapo mtu atakuwa na swali la kibinafsi anaweza kuniuliza tuu bila tatizo
Pesa za majini ni billions!!Kua na pesa ni uwe na sh ngapi??????
Kazi yake ni nini?Alinitajia kazi ya maua ya mkuyu ( atakaehitaji atasema nimtajie) .
Ni hatari kumwaga vyote wengine hekima hawana wataumiza watu mitaaniWamwagie apa apa hadharan mwenye moyo mwepes aache mwenye moyo mzito achukue Elim akawaite viumbe
Sawa sawaHii ni Bongo muvi
Ukweli ni kwamba hicho kisima mpaka leo kipo ni kipana na kirefu sana. Nilizama mpaka chini kabisa nusu nife sema huyu mzee kwa mara ya kwanza kumuona ni kuja kunitoa mle kisimaniKisimani ulitikaje? Maji yalikuwa kiasi Gani,,, hukuzama?