Ulimwengu wa majini na mambo niliyoshuhudia na kujifunza kwao

Samahani naomba kujua nilivyokuwa mdogo around miaka 10 hivi nilikuwa nacheza na watoto wenzangu mchezo wa kombolela,mimi ndio nilikua nimezinga.

Baada ya watoto wenzangu kwenda kujificha mbele ya nyumba yetu tulipokua tunacheza kuna nyumba ya jirani ina mwembe,wakati nipo peke yangu kuna kiumbe nafikiri ni kibwengo kilitokea chini ya ule mwembe kikiwa na mguu mmoja,jicho moja na nywele amesuka mabutu mawili,ni wa kike nadhani.

Kiumbe hiki kilikuwa kinanionyeshea ishara ya kuniita,mi nikaogopa nikakimbia nikaenda kuwaita watoto wenzangu,nilivyorudi nao kuwaonyesha kikawa kimepotea, na hadi leo sijui kilitaka nini kutoka kwangu ila sikudhurika.

Kinaweza kuwa ni kitu gani kile mkuu na kilikuwa na lengo gani endapo ningemfuata?
Ungeenda usingepatikana tena ungepotea na huyo ni mtekaji wa watoto wa kibinaadamu na mara nyingine hutumwa na watu wabaya nywele zake zilikuwa ovyo ovyo mafungu matatu?
 
Samahan ndugu naomba kuuliza:Jini anaweza akamfanya akawa anatibu watu(Mganga)
 
Manina hii dunia ni ya kwetu hao majini ni miyayusho Tu. Kama wako real siwajionyeshe live tuwachumbie
 
Ungeenda usingepatikana tena ungepotea na huyo ni mtekaji wa watoto wa kibinaadamu na mara nyingine hutumwa na watu wabaya nywele zake zilikuwa ovyo ovyo mafungu matatu?
Daaaah,basi ni Mungu tu ndio aliniongoza,nywele zake zilikuwa za mafungu mawili yaliyo ktk shape ya V
 
T
( Nimeruka kuna yasiyo muhimu sana twende na muda )
Usiku mkubwa ulipoingia uwanjani kulisikika kishindo kizito sana nahisi mimi ndio nilikuwa wa kwanza kusikia kisha akafatia dada Aisha maana nilimsikia akiguna akiwa chumbani mwake na alikuwa anataka atoke nje kuangalia lakini niliwahi kutoka chumbani kwangu na kusimama Karibu na chumba chake .
Nilifungua mlango kidogo tuuu nikachungulia kule kwenye mkuyu nikamuona kiumbe kimoja (huyu simtaji jina hajataka jina lake litajwe nisimnyime uhuru wake) alikuwa yuko peke yake tuu , na huyu ni swahiba mkubwa wa dada Aisha kuliko mimi .
Nilifunga mlango tukawa tunaulizana na dada Aisha ni kishindo cha nini? tulikosa jawabu kila mtu aliingia chumbani mwake, kumbe wakati narudi chumbani dada yeye alijiwa na yule swahiba wake ambae jina lake sitataja. Na alipofika swahiba wake yule alimwambia dada Aisha kuwa asilale abaki macho muda sio mrefu kuna kitu kitatokea.
Nikiwa chumbani kwangu nikaanza kuhisi kuna kiumbe amekuja pale nyumbani lakini kwakuwa hakuja kwaajili yangu sikutaka kufatilia sana hivyo nikawa nimejilaza nasubiri saa tisa usiku ifike nifanye visimamo vya usiku.
Lakini ghafla nikaskia mlango mkubwa umefunguliwa na hatua zikawa zinatoka kuelekea nje kisha huko nje nikaskia kelele za paka akilia kwa uchungu sana. Kulifatia mburuzo kama mtu anaburuzwa ardhini huku analia na kuugulia, hapo nilishindwa kuvumilia nilifungua mlango tena na muda huo dada mlango wake ulikuwa wazi nikachungulia kule uwanjani nilimuona dada yupo na mtu huku anaongea mama fulani umefata nini hapa? Na wewe ni mchawi pia ? kabla sijatoka nje dada aliingia ndani huku mikono yote imejaa damu hapo nikajua wazi kuwa yeye na yule swahiba wake kuna mchawi wametoka kumpa stahiki yake.
Dada akaanza kunambia kuwa kulikuja kundi la wachawi pale uwanjani na walikuwa wanapiga ngoma na walikuwa wamebeba fuvu la kichwa cha mtu , walikuwa wamekaa juu ya mgongo wa mtu na walikuwa wakiimba nyimbo zao huku wakitaja jina langu kuwa lazima nikomeshwe kuwaharibia mpango wao . Sasa wale wachawi wenyewe walikuwa wakinitafuta mimi ila walikuwa hawaioni nyumba yetu wala kuniona mimi hivyo waliishia uwanjani kwenye miembe. Lakini mmoja kati yao anatujua vizuri pale nyumbani hivyo alitumwa aje kufungua njia na hapo yule swahiba wa dada alitoka kwenye mkuyu na kuja kumpa pigo baya ndio kile kishindo kizito.
Wengine walikimbia yeye alishindwa na kujigeuza paka hivyo dada na swahiba yake walitoka kumsulubu.

Baada ya maongezi yale nilirudi chumbani kwaajili ya kufanya visimamo vyangu vya usiku na kumuacha dada Aisha akigomba kwelikweli kuwa asubuhi anamfata mchawi mmoja kwake , aligomba huku ananawa mikono kuondoa damu .
Kabla sijaanza kuswali nikaambiwa sikioni kuwa mchawi aliyejigeuza paka na kujeruhiwa ni mama fulani kweli na haitafika asubuhi atakuwa marehemu mimi nikaachana na kuzingatia ile habari nikawa naswali. Baada ya rakaa zangu kumalizika nikawa nawaza yaliyoendelea mchana kwenye msiba wa abushiri na kwenye mazishi nini kitatokea na hapo nikawa nasoma dua Mwenyezi aepushe shari.
ITAENDELEA HII:
Lakini tafadhali sana sehemu ambazo sikutaja majina ya watu au kiumbe huyu swahiba wa dada msijiskie vibaya na wala msiulize sana kwanini hakutaka jina lake litajwe pamoja na kuwa ameruhusu mambo haya kusimuliwa.
TUNAENDELEA.
Basi nikafanya ibada zangu nilipomaliza nikapumzika kwa usiku ule sikuwa na ugeni wa kiumbe chochote hivyo nililala mpaka ilipofikia alfajir niliamka kwaajili ya swala ya alfajir, nakumbuka baba alitangulia masjid hivyo nikawa natoka na kaka kwenda masjid lakini tukiwa njiani tukaskia matangazo mawili kwenye spika za masjid.
Tangazo moja lilikuwa ni kuhusu mazishi ya abushiri na jingine ni tangazo la msiba mpya wa mama fulani na hapo nikakumbuka kuhusu vurumai la dada Aisha na wale wachawi usiku .
Baada ya swala watu waliendelea na usomaji wa nyiradi mbalimbali lakini mimi nilirudi nyumbani.

Njia nzima nilipishana wamama na watu wengine wakiongelea yaliyojiri msibani kwa abushiri huku wakisema kuwa shangazi yake abushiri anahusika na kifo cha abushiri, sikufanikiwa kuwajua vizuri watu wale sababu ya kiza lakini nilihisi kuwa sio wakazi wa mtaa wetu ni wapita njia tuu .
Nilipokaribia nyumbani kabisa niliona kikundi cha watu waliokuwa wamesimama karibu na njia ya kwenda kwa yule mama ambae tangazo la kifo chake limetolewa.
" Yule kaingia pabaya kagusa pabaya pigo zito muda mrefu ni mtu mbaya mchawi yule wana kikundi chao ..... si unaona njia nzima ya kuingilia kwake kuna miburuzo na damu ukweli utajulikana tuu ..." Walizidi kuongea.

Ni kama walikuwa hawajaniona vizuri nilipowakaribia kabisa walinyamaza niliishia kutoa salamu na kuingia nyumbani, hapo nilimkuta dada Aisha na mama wakimalizia kuswali Alfajir na wao , moja kwa moja niliingia chumbani nikachukua chetezo na kuchoma ubani mashtaka kushtakia yale yaliyoendelea mchana kwa kina abushiri na kuhitaji msaada zaidi kwa mola .
Lakini nilikuwa na mawazo mengi sana nikataka kumuita mama niongee nae, mara nikataka kumuita dada Aisha ila nikawaza bora baba na kaka warudi kisha niongee nao wote .
Baba huwa anachelewa kurudi sababu usomaji nyiradi mbalimbali hivyo nikavuta subra ndefu kuwasubiri. Baada ya kurudi kwao tulijumuika pamoja kwenye dua ya asubuhi nyumbani na baada ya dua tuu nikamwambia dada awasimulie kilichojiri usiku .
Dada alieleza na mwisho nikawaambia kuhusu tangazo jipya la kifo cha yule mama na maneno yanayosemwa na watu mtaani.
Lakini bado nilikuwa nawaza nini kitatokea msibani kwa abushiri kama jana yake yalijiri mengi vile jee siku ya mazishi itakuwaje?

Hatimae muda wa kwenda msibani uliwadia na sheikh Yusuf alikuja pale nyumbani kumpitia swahiba yake ambae ni baba na safari ya kwenda msibani ilianza. Tulifika pale msibani macho yangu moja kwa moja yalilenga kwa kina mama yaani wanawake nikakumbuka hekaheka za jana yake .

Tukaenda kwenye jamvi la waombolezaji na kukaa pamoja na watu wengine tuliowakuta. Ratiba ikatangazwa na muda si mrefu wakachaguliwa watu kadhaa kwenda kuosha marehemu huku maandalizi ya sanda yakiendelea .
Baba yake abushiri alikuwa akilia sana ni mtoto wake wakiume pekee kwa wakati ule kuwa nae .

Muda wote huu Rihani na Rauhiyah sikuongozana nao lakini uwepo wao niliuhisi hawakuwa mbali nami. Mazungumzo ya watu yalikuwa habari za siku ya jana mchana kilichotokea pale msibani huku habari za msiba mpya zikitokota nazo , watu walikuwa wakiniangalia kwelikweli.

Pale tulipokuwa tumekaa kulikuwa na pipa la maji basi kukaja mtu kuchota maji ya kwenda kuoshea marehemu nikakumbuka kuhusu wadudu wa jana chumba cha marehemu.
Tukiwa pale hali ya hewa ilibadilika ghafla wingu zito jeusi lilitanda kukaanza mvua kubwa sana lakini cha ajabu ilikuwa ikinyesha ule mtaa wenye msiba tuu siwatanii akili yangu ilichoka ghafla tuu nilijuwa tayari mambo ya ajabu ajabu yameanza.

Watu walishangaa sana ni mvua ya vipi ile hivyo ikabidi zoezi la kuidhibiti lishike hatamu watu waweze kufanya mazishi.
Tukiwa pale pale watu waliokuwa kwenye kuosha maiti mmoja wao alitoka nje lakini alionekana kuwa na sintofahamu na kumuita baba mdogo na marehemu abushiri waliongea kwa siri lakini mambo yaliposhindikana wakasogea kwenye jamvi la masheikh na kumuita sheikh Yusuf hapo nikajua tayari kuna kilichoharibika.
Kilichokuwa kimejiri ni kwamba maiti alikuwa anatokwa na damu puani na mdimoni na mwili ni wamoto sana kwahiyo inakuwa vigumu kwao kumaliza zoezi la kuosha mwili papatikane sheikh wakwenda ndani .

Sheikh Yusuf alitakiwa kuongozana na wale watu , muda si mrefu nikasikia kila ishara kuwa Rihaan anakuja lakini alisema nami kwa sauti nakunambia kuwa mule ndani wale waoshaji kuna mmoja sio nzuri mzuri na anahitaji kuchukua maji ya maiti na vitu muhimu kwahiyo juu chini yule adhibitiwe.

Nikaingia kwenye hekaheka mpya kabisa nikawaza naanzia wapi na hapo nikamuita baba na kumwambia lakini kabla ya baba kufanya chochote sheikh yusuf alipokuwa anatoka nje aliongozana na mzee mmoja na mzee huyo alionekana kama aliyepandisha mashetani huku anasema "mimi sio mchawi ni vile hizo dua zenu sipatani nazo shangazi yake mwenyewe yule mtoto ndio ametuagiza..."
Ndani mambo yalibainika wakati sheikh Yusuf akifanya dua amani ipatikane alisoma kisomo cha kushurutisha majini ya wachawi kuwa dhalili na hapo yule mzee alianza kuropoka mengi sana hivyo ikabidi atolewe nje .
Ilikuwa ni aibu kubwa sana watu walimsikia mzee yule maneno yake .
Baada ya shughuli za uchimbaji kaburi na ushonaji sanda muda wa mazishi ulikaribia, hali ya taharuki na hekaheka za wachawi kutaka kuchukua vitu muhimu kwenye mwili wa marehemu zilionekana kudhibitiwa vikali sana na zoezi lao kushindikana hatimae abushiri alizikwa mazishi halali.
Nb: hiki ni kipengele muhimu katika simulizi hii yakweli kabisa na nafikiri mpaka hapa mmeona umuhimu wa kusomea dua maiti zenu , umuhimu wa kuwa makini mnapopata misiba ya ndugu na jamaa zenu kwani wachawi hujipenyeza humo kupata vitu vya kujiimarishia nguvu .
Kitambaa cha sanda iliyobaki, nywele za maiti, maji, unyevu unyevu kwenye mwili wake na vinginevyo jitahidi kuhakikisha vinabaki salama.
Nitawapatia kipengele chengine cha maisha yangu na kuamiliana na hawa viumbe mtajifunza kitu naamini.
 
Jambo muhimu kabisa maswali mengi yahusiane na kisa hiki au mambo ya ulimwengu wa siri usioonwa kirahisi nitajibu
 
Bado binaadamu hajawa tayari kuufikia ulimwengu wa viumbe wengine, tabia ya ujuaji mwingi mahoka kiburi na dharau pamoja na mzaha vitamkosesha vingi binaadamu hadi siku ya mwisho.
Nimejifunza vingi sana hapa na naamini nitazidi kujifunza, nimeona watu wengi hukosa vilivyo vizuri sababu ya kuendekeza ujuaji kwa kitu wasichojua au mtu kuwa na uwezo nacho .
Habari za ulimwengu wa kiroho ni ngumu kuelezwa wazi wazi namna hii , habari hizi zimeletwa hapa ili kuwazindueni ukweli wa mambo lakini wengine wanaleta ukaidi ilhali ni binaadamu wa kawaida tuu mwenye wingi wa mambo asiyojua, mwenye kuhitaji kusaidiwa kufikia anapotakiwa kufika .
Mambo mengi sana yanaanzia kwenye ulimwengu wa roho aidha kupata, kukosa au kuporwa kisha athari utaziona kwenye ulimwengu wa macho yako.
Kuna watu ni watawala huko kwenye ulimwengu wa roho lakini kukosa ilmu ya huko huwafanya kubaki watumwa kwenye ulimwengu huu, wengine ni mateka wametekwa nafsi na nguvu zao huko ulimwengu wa roho bila kujijua.
Swala la kumsaidia binaadamu kujinasua bado halijafikia muda wake bila shaka na muda wake ni pale tuu binaadamu mwenyewe atakapoamua kuwa na busara na uvumilivu kwenye kusaidiwa.
 
Story kuhusu hao viumbe wazuri ndo zilizonleta kwenye uzi wako na si kingine
 
Mzigo unaomuelemea kiumbe kinachoitwa binaadamu bado ni mzito sana, dunia imemdanganya sana mpaka kusahau ulimwengu wake wa kiroho, dunia imejaa matabaka na mifumo ya kibinaadamu hali inayofanya kuwa na kundi la tabaka la wenye nguvu na wasio na nguvu ila kwenye ulimwengu wa kiroho huko kila mmoja anayo nguvu yake usipokuwa makini hadi unaondoshwa Duniani nguvu hiyo utakuwa hujawahi kuijua wala kufanyia kazi .
Dunia ni moja lakini ulimwengu ni zaidi ya mmoja.
Binaadamu ajitahidi sana kutumia maarifa ya akili kuliko hisia sababu ya kubarikiwa akili.
Hisia zisikuendeshe hadi kuongea mambo bila mpangilio ni hatari kidogo.
 
T
TUNAENDELEA.
Basi nikafanya ibada zangu nilipomaliza nikapumzika kwa usiku ule sikuwa na ugeni wa kiumbe chochote hivyo nililala mpaka ilipofikia alfajir niliamka kwaajili ya swala ya alfajir, nakumbuka baba alitangulia masjid hivyo nikawa natoka na kaka kwenda masjid lakini tukiwa njiani tukaskia matangazo mawili kwenye spika za masjid.
Tangazo moja lilikuwa ni kuhusu mazishi ya abushiri na jingine ni tangazo la msiba mpya wa mama fulani na hapo nikakumbuka kuhusu vurumai la dada Aisha na wale wachawi usiku .
Baada ya swala watu waliendelea na usomaji wa nyiradi mbalimbali lakini mimi nilirudi nyumbani.

Njia nzima nilipishana wamama na watu wengine wakiongelea yaliyojiri msibani kwa abushiri huku wakisema kuwa shangazi yake abushiri anahusika na kifo cha abushiri, sikufanikiwa kuwajua vizuri watu wale sababu ya kiza lakini nilihisi kuwa sio wakazi wa mtaa wetu ni wapita njia tuu .
Nilipokaribia nyumbani kabisa niliona kikundi cha watu waliokuwa wamesimama karibu na njia ya kwenda kwa yule mama ambae tangazo la kifo chake limetolewa.
" Yule kaingia pabaya kagusa pabaya pigo zito muda mrefu ni mtu mbaya mchawi yule wana kikundi chao ..... si unaona njia nzima ya kuingilia kwake kuna miburuzo na damu ukweli utajulikana tuu ..." Walizidi kuongea.

Ni kama walikuwa hawajaniona vizuri nilipowakaribia kabisa walinyamaza niliishia kutoa salamu na kuingia nyumbani, hapo nilimkuta dada Aisha na mama wakimalizia kuswali Alfajir na wao , moja kwa moja niliingia chumbani nikachukua chetezo na kuchoma ubani mashtaka kushtakia yale yaliyoendelea mchana kwa kina abushiri na kuhitaji msaada zaidi kwa mola .
Lakini nilikuwa na mawazo mengi sana nikataka kumuita mama niongee nae, mara nikataka kumuita dada Aisha ila nikawaza bora baba na kaka warudi kisha niongee nao wote .
Baba huwa anachelewa kurudi sababu usomaji nyiradi mbalimbali hivyo nikavuta subra ndefu kuwasubiri. Baada ya kurudi kwao tulijumuika pamoja kwenye dua ya asubuhi nyumbani na baada ya dua tuu nikamwambia dada awasimulie kilichojiri usiku .
Dada alieleza na mwisho nikawaambia kuhusu tangazo jipya la kifo cha yule mama na maneno yanayosemwa na watu mtaani.
Lakini bado nilikuwa nawaza nini kitatokea msibani kwa abushiri kama jana yake yalijiri mengi vile jee siku ya mazishi itakuwaje?

Hatimae muda wa kwenda msibani uliwadia na sheikh Yusuf alikuja pale nyumbani kumpitia swahiba yake ambae ni baba na safari ya kwenda msibani ilianza. Tulifika pale msibani macho yangu moja kwa moja yalilenga kwa kina mama yaani wanawake nikakumbuka hekaheka za jana yake .

Tukaenda kwenye jamvi la waombolezaji na kukaa pamoja na watu wengine tuliowakuta. Ratiba ikatangazwa na muda si mrefu wakachaguliwa watu kadhaa kwenda kuosha marehemu huku maandalizi ya sanda yakiendelea .
Baba yake abushiri alikuwa akilia sana ni mtoto wake wakiume pekee kwa wakati ule kuwa nae .

Muda wote huu Rihani na Rauhiyah sikuongozana nao lakini uwepo wao niliuhisi hawakuwa mbali nami. Mazungumzo ya watu yalikuwa habari za siku ya jana mchana kilichotokea pale msibani huku habari za msiba mpya zikitokota nazo , watu walikuwa wakiniangalia kwelikweli.

Pale tulipokuwa tumekaa kulikuwa na pipa la maji basi kukaja mtu kuchota maji ya kwenda kuoshea marehemu nikakumbuka kuhusu wadudu wa jana chumba cha marehemu.
Tukiwa pale hali ya hewa ilibadilika ghafla wingu zito jeusi lilitanda kukaanza mvua kubwa sana lakini cha ajabu ilikuwa ikinyesha ule mtaa wenye msiba tuu siwatanii akili yangu ilichoka ghafla tuu nilijuwa tayari mambo ya ajabu ajabu yameanza.

Watu walishangaa sana ni mvua ya vipi ile hivyo ikabidi zoezi la kuidhibiti lishike hatamu watu waweze kufanya mazishi.
Tukiwa pale pale watu waliokuwa kwenye kuosha maiti mmoja wao alitoka nje lakini alionekana kuwa na sintofahamu na kumuita baba mdogo na marehemu abushiri waliongea kwa siri lakini mambo yaliposhindikana wakasogea kwenye jamvi la masheikh na kumuita sheikh Yusuf hapo nikajua tayari kuna kilichoharibika.
Kilichokuwa kimejiri ni kwamba maiti alikuwa anatokwa na damu puani na mdimoni na mwili ni wamoto sana kwahiyo inakuwa vigumu kwao kumaliza zoezi la kuosha mwili papatikane sheikh wakwenda ndani .

Sheikh Yusuf alitakiwa kuongozana na wale watu , muda si mrefu nikasikia kila ishara kuwa Rihaan anakuja lakini alisema nami kwa sauti nakunambia kuwa mule ndani wale waoshaji kuna mmoja sio nzuri mzuri na anahitaji kuchukua maji ya maiti na vitu muhimu kwahiyo juu chini yule adhibitiwe.

Nikaingia kwenye hekaheka mpya kabisa nikawaza naanzia wapi na hapo nikamuita baba na kumwambia lakini kabla ya baba kufanya chochote sheikh yusuf alipokuwa anatoka nje aliongozana na mzee mmoja na mzee huyo alionekana kama aliyepandisha mashetani huku anasema "mimi sio mchawi ni vile hizo dua zenu sipatani nazo shangazi yake mwenyewe yule mtoto ndio ametuagiza..."
Ndani mambo yalibainika wakati sheikh Yusuf akifanya dua amani ipatikane alisoma kisomo cha kushurutisha majini ya wachawi kuwa dhalili na hapo yule mzee alianza kuropoka mengi sana hivyo ikabidi atolewe nje .
Ilikuwa ni aibu kubwa sana watu walimsikia mzee yule maneno yake .
Baada ya shughuli za uchimbaji kaburi na ushonaji sanda muda wa mazishi ulikaribia, hali ya taharuki na hekaheka za wachawi kutaka kuchukua vitu muhimu kwenye mwili wa marehemu zilionekana kudhibitiwa vikali sana na zoezi lao kushindikana hatimae abushiri alizikwa mazishi halali.
Nb: hiki ni kipengele muhimu katika simulizi hii yakweli kabisa na nafikiri mpaka hapa mmeona umuhimu wa kusomea dua maiti zenu , umuhimu wa kuwa makini mnapopata misiba ya ndugu na jamaa zenu kwani wachawi hujipenyeza humo kupata vitu vya kujiimarishia nguvu .
Kitambaa cha sanda iliyobaki, nywele za maiti, maji, unyevu unyevu kwenye mwili wake na vinginevyo jitahidi kuhakikisha vinabaki salama.
Nitawapatia kipengele chengine cha maisha yangu na kuamiliana na hawa viumbe mtajifunza kitu naamini.
Kipindi haya yote unayafanya ulikuwa na umri gani?
 
Back
Top Bottom