Ulimwengu wa majini na mambo niliyoshuhudia na kujifunza kwao

Vile vile hakuna mzawa mwenye dini badala yake watu huwa wanaunda taratibu zao za kimaisha, dini haihusiani na zao la fikra za binaadamu sababu hajitoshelezi katika mahitaji kila siku huwa na mapya katika uhitaji kukabili maisha yake .
Namaanisha kuwa kama dini ni zao la mzawa wa eneo Fulani tungeshuhudia leo hii karibu kila jamii ingekuwa na dini yao badala yake jamii au wazawa wa eneo Fulani huwa na desturi fulani ambayo hutofautiana na desturi ya wazawa wa eneo jingine
Hapa tuelezane ukweli sheikh.
Muktadha ni dini kwa lugha nyingine ni imani, kwa nini dini?.

Sababu ndiyo mlengo wa njia inayoweza kukusanya jamii kubwa kwa wakati mmoja na kufanya ibada.

Mambo ya wazawa kuwa na utaratibu wao sijui kila jamii kuabudu kivyao yote hayo ni shm ya mkusanyiko.

Leo hii kule India bado watu wanaabudu ng'ombe, nyoka wakubwa (dragon) vinyago nk, na siyo nchi yote bali kila eneo wana wanachokiamini.

Pamoja na kwamba uislam na Ukiristu upo na bado zinafanyika jitihada kubwa kwa wahubiri kupenya kila eneo hapa India, ila bado imani zao zinabaki pale pale.

Usitake kuaminisha uongo kwamba hakukuwa na dini/imani za mzawa wa eneo fulani kabla ya kuja kwa uislam au ukiristu, NO zilikuwepo ila baada ya muingiliano wa kitamaduni kati ya jamii za waarabu na wazungu, ndipo ukaambiwa mfuate Allah/Mungu wa mbinguni.
 
والحقيقة لا يعلمها إلا الله تعالى.
Ukweli anajua Mwenyezi Mungu peke yake
Kumtaja Mwenyeezi Mungu kwamba ndiye anajua haiwezi kuwa sababu ya wewe kuwa siye watu wanaemhisi.

Unajua/hujui hata shetwani anamtaja mwenyeezi Mungu na kuna wakati anapata wasaa wanazungumza pamoja?.

Na kwenye moja ya chapisho humu, umekataa wewe haupo ktk mwonekano wa binadamu kutoka Afrika, Ulaya au Asia, الآن من أنت .
 
Daahhh
 
[/QUOTE
Sawa
 
Hapa tuelezane ukweli sheikh.
Muktadha ni dini kwa lugha nyingine ni imani, kwa nini dini?.

Sababu ndiyo mlengo wa njia inayoweza kukusanya jamii kubwa kwa wakati mmoja na kufanya ibada.

Mambo ya wazawa kuwa na utaratibu wao sijui kila jamii kuabudu kivyao yote hayo ni shm ya mkusanyiko.

Leo hii kule India bado watu wanaabudu ng'ombe, nyoka wakubwa (dragon) vinyago nk, na siyo nchi yote bali kila eneo wana wanachokiamini.

Pamoja na kwamba uislam na Ukiristu upo na bado zinafanyika jitihada kubwa kwa wahubiri kupenya kila eneo hapa India, ila bado imani zao zinabaki pale pale.

Usitake kuaminisha uongo kwamba hakukuwa na dini/imani za mzawa wa eneo fulani kabla ya kuja kwa uislam au ukiristu, NO zilikuwepo ila baada ya muingiliano wa kitamaduni kati ya jamii za waarabu na wazungu, ndipo ukaambiwa mfuate Allah/Mungu wa mbinguni.
Sawa pole lakini
 
Habari kiongozi pole na majukumu naona uko pm umenisusa kulipa maelekezo
 
Kumtaja Mwenyeezi Mungu kwamba ndiye anajua haiwezi kuwa sababu ya wewe kuwa siye watu wanaemhisi.

Unajua/hujui hata shetwani anamtaja mwenyeezi Mungu na kuna wakati anapata wasaa wanazungumza pamoja?.

Na kwenye moja ya chapisho humu, umekataa wewe haupo ktk mwonekano wa binadamu kutoka Afrika, Ulaya au Asia, الآن من أنت .
Dah! hizi Nondo leo hapa ni [emoji91]
 
Kumtaja Mwenyeezi Mungu kwamba ndiye anajua haiwezi kuwa sababu ya wewe kuwa siye watu wanaemhisi.

Unajua/hujui hata shetwani anamtaja mwenyeezi Mungu na kuna wakati anapata wasaa wanazungumza pamoja?.

Na kwenye moja ya chapisho humu, umekataa wewe haupo ktk mwonekano wa binadamu kutoka Afrika, Ulaya au Asia, الآن من أنت .
Mambo yashaanza kuchemka
 
Kwamba yeye ni binadamu au jini?
Screenshot_20250712_205334.jpg
 
Samahani naomba kujua nilivyokuwa mdogo around miaka 10 hivi nilikuwa nacheza na watoto wenzangu mchezo wa kombolela,mimi ndio nilikua nimezinga.

Baada ya watoto wenzangu kwenda kujificha mbele ya nyumba yetu tulipokua tunacheza kuna nyumba ya jirani ina mwembe,wakati nipo peke yangu kuna kiumbe nafikiri ni kibwengo kilitokea chini ya ule mwembe kikiwa na mguu mmoja,jicho moja na nywele amesuka mabutu mawili,ni wa kike nadhani.

Kiumbe hiki kilikuwa kinanionyeshea ishara ya kuniita,mi nikaogopa nikakimbia nikaenda kuwaita watoto wenzangu,nilivyorudi nao kuwaonyesha kikawa kimepotea, na hadi leo sijui kilitaka nini kutoka kwangu ila sikudhurika.

Kinaweza kuwa ni kitu gani kile mkuu na kilikuwa na lengo gani endapo ningemfuata?
 
Back
Top Bottom