Buraq Mustapha
JF-Expert Member
- Jul 13, 2021
- 228
- 561
- Thread starter
- #541
Napitia PM sasa hiviMkuu nakumbuka ulisema unicheki tuongee mawili matatu lakini hatukuongea
Napitia PM sasa hiviMkuu nakumbuka ulisema unicheki tuongee mawili matatu lakini hatukuongea
Very sad mkuu😢😢Dunia ina mitihani sana hii , vita vya kifamilia ni mbaya na wengi sana wameharibiwa maisha yao na vita hizi, watu wanajikusanyia nguvu kupitia watoto wa wenzao lakini watu wakati wa kuzinduka naamini umefika
Wewe ni jini pia mfano wa binadamuKukaa tumboni miezi kumi na moja na wiki mbili tayari mpaka hapo nafikiri mauza uza ushayaona na kupata kujua ni mtu wa vipi, mengine kuweka wazi sio bora sana naona
Swali zuri linatakiwa kujibiwa au kusifiwa?swali lako zito mkuu....
والحقيقة لا يعلمها إلا الله تعالى.Wewe ni jini pia mfano wa binadamu
Wengine ilituchukua miezi kumi na wiki kadhaa kuja kuuona huu ulimwengu, sijui ni kawaida au vipi, inabidi wenye majibu ya kisayansi watuambie pia.Kukaa tumboni miezi kumi na moja na wiki mbili tayari mpaka hapo nafikiri mauza uza ushayaona na kupata kujua ni mtu wa vipi, mengine kuweka wazi sio bora sana naona
Ukiona hivyo mkuu basi kuna sababu za kusema hivyo. Inaweza akawa hana uelewa vizuri na uhakika na juliyoyauliza na kama ujuavyo mtu huwezi sema kitu ambacho huna uelewa wala uhakika nacho maana mwisho wa siku utaonekana ni muongo tuSwali zuri linatakiwa kujibiwa au kusifiwa?
Safi kabisa.Ukiona hivyo mkuu basi kuna sababu za kusema hivyo. Inaweza akawa hana uelewa vizuri na uhakika na juliyoyauliza na kama ujuavyo mtu huwezi sema kitu ambacho huna uelewa wala uhakika nacho maana mwisho wa siku utaonekana ni muongo tu
Samahani naomba kujua jambo, kipindi nikiwa mdogo wa kama miaka 12 au 13 niliwahi kutumwa mashineni kusaga unga na siku hiyo kulikuwa na foleni hivyo ilinipeleka kuchelewa kutoka mashineni. Niliondoka giza likiwa limeshaingia hivyo nje kulikuwa kunatisha kwa sababu ni eneo lenye migomba mingi, nilianza kutembea umbali mrefu kidogo nikafika eneo lenye Chuo cha Ufundi cha Islamic mara mbele nikaona mtu mrefu amevaa kanzu nyeupe yupo anatembea mbele yangu uelekeo wa ninapoenda, nikawa namfuata huku natembea harakaharaka ili nimkute lakini sikuweza kumkuta akawa bado yupo mbele yangu japo yeye alikuwa anatembea mwendo mwa kawaida, nikakaribia eneo la nyumbani yeye akiwa bado mbele yangu na tulipofika eneo la wazi karibu na nyumbani mara ghafla akasimama na mimi nikasimama ukatokea mwanga mkali alafu akapotea. Nilikimbia mpaka nyumba ya jirani nikawahadithia na kuomba msaada wa kusindikizwa nyumbani maana nilikuwa naogopa sana, mpaka leo nikipita lile eneo huwa moyo unanienda mbio. Je inawezekana alikuwa ni huyo jini mzuri ameamua kunisindikiza au ni malaika?Watu wengi wanachanganya kati ya shetani, jini na ifrit hivi vitu wanashindwa kuvijua ndio maana wao kila jini wanajua ni waovu.
Ila ukweli ni kuwa wapo majini ni wema kiasi kwamba binaadamu hafikii wema huo
Huyo ni anaweza kuwa jini mwema na aliamua kufanya ulinzi kwako.Samahani naomba kujua jambo, kipindi nikiwa mdogo wa kama miaka 12 au 13 niliwahi kutumwa mashineni kusaga unga na siku hiyo kulikuwa na foleni hivyo ilinipeleka kuchelewa kutoka mashineni. Niliondoka giza likiwa limeshaingia hivyo nje kulikuwa kunatisha kwa sababu ni eneo lenye migomba mingi, nilianza kutembea umbali mrefu kidogo nikafika eneo lenye Chuo cha Ufundi cha Islamic mara mbele nikaona mtu mrefu amevaa kanzu nyeupe yupo anatembea mbele yangu uelekeo wa ninapoenda, nikawa namfuata huku natembea harakaharaka ili nimkute lakini sikuweza kumkuta akawa bado yupo mbele yangu japo yeye alikuwa anatembea mwendo mwa kawaida, nikakaribia eneo la nyumbani yeye akiwa bado mbele yangu na tulipofika eneo la wazi karibu na nyumbani mara ghafla akasimama na mimi nikasimama ukatokea mwanga mkali alafu akapotea. Nilikimbia mpaka nyumba ya jirani nikawahadithia na kuomba msaada wa kusindikizwa nyumbani maana nilikuwa naogopa sana, mpaka leo nikipita lile eneo huwa moyo unanienda mbio. Je inawezekana alikuwa ni huyo jini mzuri ameamua kunisindikiza au ni malaika?
Mwenyezi Mungu awe nawe na kukufungulia riziki na baraka nyingiDah! Stori yako inanifunza mengi sana, na kupitia story yako unanipa ujasiri wa kupambana na haya nayopitia kwenye maisha mpaka nitasimama imara
Nitaupitia muda sio mrefu sanaWengine ilituchukua miezi kumi na wiki kadhaa kuja kuuona huu ulimwengu, sijui ni kawaida au vipi, inabidi wenye majibu ya kisayansi watuambie pia.
Alafu mkuu kuna ujumbe kule pm.
Nitawapatia hapa akhui mawili matatu tuko pamojaLete ilmu mkuu buraki
Mkuu nilikuuliza wewe unaweza kusoma nyota ya mtu ili ajuwe avae pete yenye kito cha aina gani?Nitaupitia muda sio mrefu sana
Asante kwa jibu lako zuri nimekuelewa, japo nina swali lingine. Kipindi cha nyuma nilikuwa na uwezo wa kukumbuka kila kitu mwalimu lichofundisha darasani yaani nikifika kwenye mtihani nakumbuka jinsi aliyokuwa amekiandika ubaoni ni kama nahamisha tu. Niliupofika Sekondari hiyo hali ikapotea kabisa nikawa napata shida sana kukumbuka mambo mpaka sasa natumia nguvu nyingi kukumbuka yaani nasahausahau sana shida ni nini? Pili nina uwezo wa kuona au kuhisi jambo fulani au kuwaza jambo fulani au mazingira ulani ambayo sijawahi kufika na baada ya muda mrefu au siku kadhaa likatokea kama vilevile au mnikafika maeneo kama yaleyale nikaanza kufikiri hivi hichi kitu si niliwahi kukiona/kukiwaza? au hapa mbona kama nilishawahi kufika? then baadaye ndio nakumbuka kuwa niliwaza au kuota. Pia naweza ota msiba au kitu fulani na kweli kikatokea either kwa yuleyule mtu au mwingine ila wa jinsia ileile. Je hii nayo ni nini?Huyo ni anaweza kuwa jini mwema na aliamua kufanya ulinzi kwako.
Lakini ulimuona akiwa upande gani kwako kulia au kushoto? Kwa namna ya kuwa alikuwa mbele yako huyo ni malaikat ruhaniya