Unajua nimesoma huu ujumbe wako, wachawi kweli Wanatesa sana , wanarudisha watu nyuma sana, wachawi, wenye Husda kinyongo.roho za kwanini, Hawa huenda kwa waganga lengo tu kuzuia karama na mafanikio ya mwingine , washenzi sana , na dawa yao ni KIFO tu hakuna namna, na Zaid tukitaka kusaidika.unakuta tunakutana na matapeli ambao ni wengi sana , usipokutana na tapeli utakutana na anayejua ila ni kama anauza usaidizi wake kwako,,...sijui lakin kupata watu aina ya mleta mada ni nadra sana kwenye Dunia hii , unaweza kupata mmoja ndani ya miaka 15, nina ushahidi na hili ama haya,, nmefurah kuona.kumbe Kuna watu aina yako wanapata spiritual awakening kama Mimi, ..kutaka kujua ukweli .....