Buraq Mustapha
JF-Expert Member
- Jul 13, 2021
- 228
- 561
- Thread starter
- #481
Hivi ni vito vikubwa sana vinavyosimamiwa na viumbe wakubwa sana.kwann nchi kama irani wanavaa sana ferooz na aqeeq( torquise na agate)?
Na pete zenye Vito hivi vina masharti yake ya kisheria kwenye kuvaa kinyume na hivyo ni madhara.
Moja ya masharti hayo ni kujiepusha na uzinzi na mambo yasiyofaa.