Buraq Mustapha
JF-Expert Member
- Jul 13, 2021
- 228
- 561
- Thread starter
- #461
Tuko pamoja, kisha nitakutafuta kwa maongezi mawili matatuYeah nalijua hilo mkuu, kikubwa usi5uache kwenye mataa tu
Tuko pamoja, kisha nitakutafuta kwa maongezi mawili matatuYeah nalijua hilo mkuu, kikubwa usi5uache kwenye mataa tu
Wengi tunachezewa michezo ya ajabu sana ni vile tu hatujui.. Tunakuja kushtuka tayari washafanya yaoKiukweli binafsi naiona dunia kama sehemu hatari sana kuliko wengi wanavyoona ni shari nyingi sana zimo ndani yake
Pamoja sana mkuu.Tuko pamoja, kisha nitakutafuta kwa maongezi mawili matatu
Wanaonea sana watuWengi tunachezewa michezo ya ajabu sana ni vile tu hatujui.. Tunakuja kushtuka tayari washafanya yao
By any chance nikiibahatika kuujua huo ulimwengu wa pili vizuri na kufanikiwa kujitambua na kupata nguvu mbili tatu kwa njia halali asee watanikoma hao wanaojiita wachawi
Kama ni kupambana nao nasema hivi nitazichapa haswa, ni kheri kufa kishujaa ukipambania haki na kusaidia watu kuliko kufa kinyonge. Huwa sipendi uonevu!
Hii ilmu kuhusu pete, vito au mawe ni pana sana, wale wenye maruhani mbalimbali ambao huwataka swahiba zao wa kibinaadamu kuwa na pete yenye vito fulani fulani sio wazembe ruhani hao kutaka hivyo.Natoka nje ya simulizi kidogo.
Nawagusia kitu muhimu sana mkiamka asubuhi kutoka kwenye makazi yenu basi mtasoma maandiko yangu haya .
Bismillah Rahman Rahiim.
Asalam alaykum warahmatullah wabarakatu vipi hali zenu.
Hii ilmu kuhusu vito mbalimbali na faida zake au siri zilizojificha ndanimwe ingekuwa inafahamika waziwazi basi huko school wangefunza watu kizazi cha binaadamu kikanufaika.
Sijawahi kuona kiumbe kiitwacho jini ambacho hakivai pete yote hii ni kutokana na umuhimu mkubwa wa vito
(mawe/gemstone) uliofichika.
Hii dunia tuliyonayo vitu vya maana hupuuzwa kisha watu wengi hukimbilia yale ya ajabu ajabu yasiyo faida.
Hata hivyo yale ya muhimu sana hufanywa siri hayaelezwi waziwazi kwa wengine na naweza kusema zipo sababu nyingi sana zinazosababisha kufanyika hivi .
Ni vigumu sana kueleza kila kitu sababu mambo ni mengi sana lakini yale machache inapotokea muda tutaelezana bila kuchoka lengo na madhumuni ni ilmu isambae kwa wengi ndani ya muda mfupi , pia kila mtu aishi kwa uhuru furaha na amani , kupata taarifa sahihi kuhusu habari mbalimbali kuhusu mambo yanavyokwenda.
Hivi vito muonavyo kwenye pete huwa vinabeba nguvu fulani na kila kito kinamfaa mtu Fulani kwa mujibu wa nyota ( yaliyofungamanishwa na mtu ) . Kila mtu analotamanio lake la kimahitaji ambalo anahitaji kulipata au kukamilisha ( hii ndio nyota yenyewe)Hii ilmu kuhusu pete, vito au mawe ni pana sana, wale wenye maruhani mbalimbali ambao huwataka swahiba zao wa kibinaadamu kuwa na pete yenye vito fulani fulani sio wazembe ruhani hao kutaka hivyo.
Pete ni ufunguo, pete ni alama yenye kubeba vingi sana, ikiwemo nguvu ya ushawishi, heshima, utawala au mamlaka na uongozi.
Kila kito kina nguvu yake na hivi vito vimegawika ndani ya makundi au element kuu nne tuu .
1. Vito vyenye element ya moto mfano ruby
2. Vito vyenye element ya upepo
3. Vito vyenye element ya maji
4. Vito vyenye element ya udongo au ardhi.
Sasa ruhani wako akitaka utafute pete ya aina fulani tayari anakuwa anajua kwa namna gani pete hiyo itaendana na wewe kwa kigezo cha uwiano baina ya kito husika na nyota yako na wakati mwingine hata falme zako za asili.
Majini wapo mbele ya muda katika mambo ya ilmu za siri hili binaadamu mlifahamu wazi kabisa bila kuficha.
Wanazuoni wote unaosikia leo hii wapo baadhi yao pete ziliwasaidia kufungua karama zao mbalimbali kwa idhini ya mola.Hivi vito muonavyo kwenye pete huwa vinabeba nguvu fulani na kila kito kinamfaa mtu Fulani kwa mujibu wa nyota ( yaliyofungamanishwa na mtu ) . Kila mtu analotamanio lake la kimahitaji ambalo anahitaji kulipata au kukamilisha ( hii ndio nyota yenyewe)
Nb: nyota ni tofauti na riziki, amali au chumo.
Sasa hivi vito huwa na nguvu ya kuweka uwiano na msukumo wa wewe kupata hamasa na nguvu ya kuvuta yale utakayo.
Mfano kuvuta pesa na mali, kuvuta uwezo wa juu wa kiroho, kuvuta nguvu za kuwa na ushawishi dhidi ya wengine.
Mfano red garnet, ruby hivi vito kwa mtu mwenye nyota ya moto mfano ng'e simshauri kuvaa badala yake mwenye nyota ya upepo anaweza kuvaa na kufanya vizuri sana sababu atavuma jina lake, ushawishi mkubwa na kupata hamasa kubwa sana kuendea mipango yake.
Nb: zingatia ruhani wako kakupatia taarifa utafute pete gani.
Nb: pete lazima iandaliwe vyema na kujazwa nguvu , ilmu ya kuiandaa pete ni pana na kila pete ina taratibu zake bila kuyakamilisha basi pete hiyo inakuwa haina nguvu yake
Nitaacha picha hapo chini , picha ya vito vyenye nguvu na zinasimamiwa na ruhani wenye wingi wa mambo .Wanazuoni wote unaosikia leo hii wapo baadhi yao pete ziliwasaidia kufungua karama zao mbalimbali kwa idhini ya mola.
Pete hujaza nishati ya kiwango cha juu kwa mvaaji.
Pete ni ufunguo wa siri sana yote haya ikipatiwa maandalizi yake ipasavyo.
( Unaandaa pete ukikwama unaweza kuniuliza hapa nitakwambia na sio lazima uniite nije kuandaa pete yako mimi hapana)
Jaza nguvu kwenye pete yako ukivaa pete uwe umevaa pete kweli na sio pambo.
Nb: wanawake wengi sana wanao maruhani wazuri sana ila mnaendanao kinyume mnapotea katika njia hadi viumbe vyenu vinawaendea walimu mbalimbali na kulia tuu hii sio sawa .
Nb: kila kito kina ruhani wake na wanayo makazi yao katika mazingira fulani hivyo muwe munapeleka pete hizo kwenye mazingira hayo .
Pete Pete Pete Pete sio kitu cha kuchezea Pete ni silaha na ufunguo.
Nawagusia baadhi ya vito tuuNitaacha picha hapo chini , picha ya vito vyenye nguvu na zinasimamiwa na ruhani wenye wingi wa mambo .
Katika Vito hivyo vipo ambavyo hufungua ilmu mbalimbali.
Vipo vito ambavyo huvuta ushawishi, mambo ya pesa , huboresha afya ya uzazi na mengine mengi.
Tafadhali sana, sihusiki na kuuza pete hivyo fatilia ruhani wako wamekupa maelezo utafute pete ya kito gani kisha itafute angalia walimu wa kibinaadamu wa eneo lako kisha waitengeneze ukabidhiwe huko uliko.
Swali likiwepo nitatoa jawabu hapa
Nawagusia baadhi ya vito tuuNitaacha picha hapo chini , picha ya vito vyenye nguvu na zinasimamiwa na ruhani wenye wingi wa mambo .
Katika Vito hivyo vipo ambavyo hufungua ilmu mbalimbali.
Vipo vito ambavyo huvuta ushawishi, mambo ya pesa , huboresha afya ya uzazi na mengine mengi.
Tafadhali sana, sihusiki na kuuza pete hivyo fatilia ruhani wako wamekupa maelezo utafute pete ya kito gani kisha itafute angalia walimu wa kibinaadamu wa eneo lako kisha waitengeneze ukabidhiwe huko uliko.
Swali likiwepo nitatoa jawabu hapa
Kwasisi wenye nyota ya mbuzi tunashauriwa kuvaa pete yenye kito cha aina gani? Hasa kama tunataka kuwa na nguvu kubwa kiroho pamoja na ushawishi mkubwa, bila kusahau mvuto?Nawagusia baadhi ya vito tuu
1. Kito cha emerald
Ni rangi ya kijani, kito hiki kimesimamia mambo mengi sana ikiwemo uzazi.
Hivyo basi kwa mwanamke aliyemjamzito na ujauzito huo una hekaheka nyingi atafutiwe kito hiki kifanyiwe mambo yake yote muhimu na kisomo na kisha suratul Maryam.
Bint asiyeoleka hiki kinafaa pia .
Kwa madaktari hiki kinafaa pia .
2. Blue Sapphire: Rangi ya blue .
Hii wenye kuhitaji ushawishi, kupendwa na watu , mvuto wa hali ya juu, biashara inafaa sana.
Kwa wale wenye kutaka kufanya vizuri katika mambo ya biashara ya mavazi na vitambaa inafaa.
3. Ruby= Rangi nyekundu.
Hii ni moto , kito cha moto hiki usiivae bila muongozo yaani huna ruhani amekupa maelezo wala huna mwalimu wa kibinaadamu na wala nyota yako haisimamii kito hiki.
Kuivaa hii bila muongozo hutasahau maisha yako yote hekaheka utakayopitia.
Kwa wanawake hii kama hujapata maelezo kokote basi usiitafute hii kila siku utakuwa unaachwa sababu ya kutaka kuwatawala waume zako , utakuwa na kiburi kikali sana kama kitu gani sijui .
Sababu kubwa ya kuwafunulia kidogo kuhusu pete nahitaji mfahamu vizuri kuhusu pete ndani ya mkasa au simulizi ninayowapatia kuna kisa kuhusu pete, nakiri kuwa nimewakilisha kwenu kama nilivyoagizwa muda huu kufanya hivi.
Amani ya mola iwe nanyi.
kwann nchi kama irani wanavaa sana ferooz na aqeeq( torquise na agate)?Nawagusia baadhi ya vito tuu
1. Kito cha emerald
Ni rangi ya kijani, kito hiki kimesimamia mambo mengi sana ikiwemo uzazi.
Hivyo basi kwa mwanamke aliyemjamzito na ujauzito huo una hekaheka nyingi atafutiwe kito hiki kifanyiwe mambo yake yote muhimu na kisomo na kisha suratul Maryam.
Bint asiyeoleka hiki kinafaa pia .
Kwa madaktari hiki kinafaa pia .
2. Blue Sapphire: Rangi ya blue .
Hii wenye kuhitaji ushawishi, kupendwa na watu , mvuto wa hali ya juu, biashara inafaa sana.
Kwa wale wenye kutaka kufanya vizuri katika mambo ya biashara ya mavazi na vitambaa inafaa.
3. Ruby= Rangi nyekundu.
Hii ni moto , kito cha moto hiki usiivae bila muongozo yaani huna ruhani amekupa maelezo wala huna mwalimu wa kibinaadamu na wala nyota yako haisimamii kito hiki.
Kuivaa hii bila muongozo hutasahau maisha yako yote hekaheka utakayopitia.
Kwa wanawake hii kama hujapata maelezo kokote basi usiitafute hii kila siku utakuwa unaachwa sababu ya kutaka kuwatawala waume zako , utakuwa na kiburi kikali sana kama kitu gani sijui .
Sababu kubwa ya kuwafunulia kidogo kuhusu pete nahitaji mfahamu vizuri kuhusu pete ndani ya mkasa au simulizi ninayowapatia kuna kisa kuhusu pete, nakiri kuwa nimewakilisha kwenu kama nilivyoagizwa muda huu kufanya hivi.
Amani ya mola iwe nanyi.
uliogopa bure tu,hao waliokuwa nandevu nyeupe na mavazi meupe ni WAILAM!!Simulizi ya kweli inayonihusu mimi mwenyewe moja kwa moja.
Sehemu ya kwanza .
1. Namna majini walivyoshiriki katika makuaji yangu .
Tangu nikiwa mdogo nilikuwa nikishuhudia vivuli vilivyokuwa vikinifata kila nilipokwenda, kiukweli nilikuwa nikiogopa sana ingawa nilikuwa simwambii mtu yeyote hata mama na baba .
Siku zilizidi kwenda na kila siku nilikuwa nikijionea mambo mapya na hadi kufikia wakati nilikuwa nikiona watu wenye ndevu nyingi nyeupe, mavazi maupe sana waliokuwa wakinifata nyuma ninapotembea. Ndani ya kundi la watu hao kulikuwa na watoto waliokuwa sawa sawa na umri wangu kwa kipindi kile na kulikuwa na wanamama waliokuwa wakijitanda mavazi marefu ya kuburutika hadi chini .
Kiukweli nilikuwa nikijionea mambo mengi hadi ilifika wakati ninapopita mazingira ya hatari basi wazee wale hutokea ghafla na kunizuia kupita au kubaki maeneo hayo .
Siku moja nilipokuwa kijijini kwa kina bibi niliondoka na watoto wenzangu hadi mtoni (kisimani) , lakini ghafla tulipokuwa kando ya kisima hicho niliteleza na kuingia kisimani.
Mawasiliano yangu na wenzangu yalipotea lakini kwa mbali sana nilisikia kelele zao za kutaka kuniokoa bila mafanikio.
Nilizama hadi chini ya kisima nasikuwa najua kuogelea kamwe.
Nilitapatapa sana bila matumaini lakini ghafla nikamuona mzee mwenye ndevu nyingi nyeupe, kanzu na kitambaa cha kijani na pete kidoleni alitokea na kunishika mkono . Usoni sikumuona vizuri lakini alionekana kufurahi kuniona. Alinishika sana eneo la kichwani na kifuani huku akiniangalia kwa umakini mkubwa.
Nilimuona akipuliza kiganja chake cha mkono wa kulia na kisha kunifuta kwa mkono ule mwilini kisha alinisogeza hadi kando ya kisima na kuniweka kando nje ya kisima.
Nitakujibu kwa juu juu , lakini hapa naomba ufahamu kuwa yasitumike mazoea na kukariri badala yake yahitajika kuingia ndani kidogo kuona hii nyota ya mbuzi imetawaliwa na malaika gani na kwenye ulimwengu wa majini ni jini gani anaiinamia nyota hii kisha ndio swala la kito na aina ya maandalizi yapi kwenye pete inahitajika.Kwasisi wenye nyota ya mbuzi tunashauriwa kuvaa pete yenye kito cha aina gani? Hasa kama tunataka kuwa na nguvu kubwa kiroho pamoja na ushawishi mkubwa, bila kusahau mvuto?
Pia nina maswali mengine nje ya hii elimu. Je nini sababu ya wachina kuwa na nguvu kubwa kimwili licha miili yao kuonekana ya kawaida au ni kwasababu ya vyakula wanavyokula uko kwao? Pia kwanini wachina wao ni rahisi sana kuvuna nishati za asili tofauti na wengine especially sisi wabongo?
Swali la pili. Je mtu akivuta bangi anaweza kuwaona wachawi? Na kwanini wachawi wanaepuka sana watu wanaovuta bangi? Kuna siri gani kwenye bangi?
Sawauliogopa bure tu,hao waliokuwa nandevu nyeupe na mavazi meupe ni WAILAM!!