Iam back_Euphoria
JF-Expert Member
- Sep 17, 2024
- 366
- 1,116
Ndio ndio nililisoma mkuuSafi kabisa.
Je, swali lenyewe ulilisoma?
Ndio ndio nililisoma mkuuSafi kabisa.
Je, swali lenyewe ulilisoma?
Uwepo wa jini wa kukupa habari na maono uwezo huo umepotea sababu ya uwepo wa vifungo, ulaji wa vyakula fulani vyenye kudumaza nguvu za kiroho, mtindo wa maisha usiofaa mfano kutotunza siri, kusema wengine yaani kusengenya na mengineAsante kwa jibu lako zuri nimekuelewa, japo nina swali lingine. Kipindi cha nyuma nilikuwa na uwezo wa kukumbuka kila kitu mwalimu lichofundisha darasani yaani nikifika kwenye mtihani nakumbuka jinsi aliyokuwa amekiandika ubaoni ni kama nahamisha tu. Niliupofika Sekondari hiyo hali ikapotea kabisa nikawa napata shida sana kukumbuka mambo mpaka sasa natumia nguvu nyingi kukumbuka yaani nasahausahau sana shida ni nini? Pili nina uwezo wa kuona au kuhisi jambo fulani au kuwaza jambo fulani au mazingira ulani ambayo sijawahi kufika na baada ya muda mrefu au siku kadhaa likatokea kama vilevile au mnikafika maeneo kama yaleyale nikaanza kufikiri hivi hichi kitu si niliwahi kukiona/kukiwaza? au hapa mbona kama nilishawahi kufika? then baadaye ndio nakumbuka kuwa niliwaza au kuota. Pia naweza ota msiba au kitu fulani na kweli kikatokea either kwa yuleyule mtu au mwingine ila wa jinsia ileile. Je hii nayo ni nini?
Inakupasa ufahamu kuwa sina haja ya pesa ya mtu .Mpaka kufika mwisho wa simulizi watakuwa wameshalizwa wengi tu
NitawapatiaMuendelezo mkuu
Naomba nikuelekeze moja kwa moja.Mkuu nilikuuliza wewe unaweza kusoma nyota ya mtu ili ajuwe avae pete yenye kito cha aina gani?
Unadhani wote wanaokujaga kusimulia hizi hadithi huwa wanashida na hela ya mtu? Lakini ipo namna tu watu watapulizwa humuInakupasa ufahamu kuwa sina haja ya pesa ya mtu .
Buraq upo Tanga sehemu gn mi npo kipumbw apaNaomba nikuelekeze moja kwa moja.
Njia za kufahamu nyota yako ni tarehe ya kuzaliwa pili njia ya kutumia jina .
Ingawa ndanimwe (ndani yake) kuna mengi ya kutazama bila shaka ujumbe wako upo PM nitaingia
Buraq Mustapha umeruka swali hapa...Samahani, wewe ni mwarabu, mwafrika au mzungu?.
Na je, hapo kabla ya ukiristo na uislam kujili afrika ipi ilikuwa dini ya wazawa?.
Kwanza yakupasa ufahamu nini maana ya dini . Na kuhusu mimi sio mwarabu, sio mswahili na sio mzunguBuraq Mustapha umeruka swali hapa...
Karibu kwa majibu mujarab.
Vile vile hakuna mzawa mwenye dini badala yake watu huwa wanaunda taratibu zao za kimaisha, dini haihusiani na zao la fikra za binaadamu sababu hajitoshelezi katika mahitaji kila siku huwa na mapya katika uhitaji kukabili maisha yake .Buraq Mustapha umeruka swali hapa...
Karibu kwa majibu mujarab.
Kwasasa hivi sipo Tanga , Tanga ni nyumbani tuu. kipumbwi napafahamu pamoja na mwera, mkwaja, ushongo, unakuja boza, kigombe na maeneo ya pangani vipi dagaa au uono upo?Buraq upo Tanga sehemu gn mi npo kipumbw apa
SawaUnadhani wote wanaokujaga kusimulia hizi hadithi huwa wanashida na hela ya mtu? Lakini ipo namna tu watu watapulizwa humu
Ongea na ruhaby mwambie nna shida nae vbaya mnoSawa
Kuna tatizo naomba nfanyie connection npo kpumbwSawa
Pm imegoma kufunguka naomba ufanye namna yyte mwalimSawa
Hivyo vyakula naweza kuvijua?Uwepo wa jini wa kukupa habari na maono uwezo huo umepotea sababu ya uwepo wa vifungo, ulaji wa vyakula fulani vyenye kudumaza nguvu za kiroho, mtindo wa maisha usiofaa mfano kutotunza siri, kusema wengine yaani kusengenya na mengine