Ulimwengu wa majini na mambo niliyoshuhudia na kujifunza kwao

Huyu muandishi majini wenzake wamemchukua sio ๐Ÿ˜‚
 
Mnahangaikaga na nini kuandika manyuzi msiyoweza kuyamaliza?? Kama huyu jini muandishi toka July 19 hajaonekana hapa gademit. ๐Ÿ˜…
 
Mh mwanakwetu kwa hiyo hawa maarufu umemaliza, Beyonce, Wema, Kim Kardashian n.k? Hebu niazime hiyo silaha ๐Ÿ˜€
 
Watu wanashangaa uhusiano wa majini na bin-adam. Mie binafsi nimezaa watoto wawili na mwanamke wa kijini.
Ilianza kama ndoto ila mwisho wa siku akawa anakuja live kabisa. Kiufupi kwa sasa ni miaka imepita nimetenganishwa nae.
Na kama kuna mwenye elimu ya kukosoa au kuthibitisha ninalosema basi aje hapa hapa nitampa maelekezo anayotaka hata ikiwa jina ili athibitishe kama ni kweli au natania.
 
We ni muongo kuwahi narudia tena wew ni MUONGO KUWAHI KUMSHUHUDIA HAPA TANGU NIJITAMBUE
 
ูŠุง ุญู†ุงู†ูˆ ูŠุง ู…ู†ุงู†ูˆ ูŠุง ุถูŠุงู†ูˆ ูŠุง ุญุถุฑุฉ ุณู„ูŠู…ุงู† ุนู„ูŠู‡ ุงู„ุณู„ุงู… ุจูŠู‡ู‚ูŠ ุญุถุฑุฉ ู…ู‡ุฑูŠ ูŠุง ุญุถุฑุฉ ุณู„ูŠู…ุงู† ุชูˆูƒู„ ูŠุง ุฃู…ูŠุฑ ุฃุจูˆ ุดูุงู† ุตุงุญุจ ุงู„ุฌุจู„ ูˆุจูŠู‡ู‚ ....
 
Majini ni waislamu hiyo haina ubishi, uislam ni dini ya majini, pia kama una majini ukitafuta mganga muislam unapona kabisa
 
Majini ni waislamu hiyo haina ubishi, uislam ni dini ya majini, pia kama una majini ukitafuta mganga muislam unapona kabisa
Sio majini wote ni Waislamu,Uislamu sio dini ya majini bali ni ya Allah na si nasikia hata kanisani watu wenye majini wanapona vipi na huko ni dini ya majini au?
 
Njoo inbox
 
Buraq Mustapha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ