Ulimwengu wa Scania unaisha. Zuchu Howo ndio mpango mzima

Kwenye industry pekee ambayo mchina atamzidi scania ni kwenye industry ya mchanga na kokoto. Hapo mchina yuko 100%.
 
unasifia sifia gari ambayo baada ya miaka 10 unakuja kuomba msaada ukatolewe maji kiunoni mgongo sijui una matatizo sijui nini na nn mkuu ukiwa serious na maisha yako kwepa sana gari za kichina howo iyo cabin tuu mchana joto kalii usiku baridi kalii unaifananisha vipi na scania? gari za kichina ni uchafu ni vile tu umasikini madereva hawana mbadala familia inataka kula watoto waende shule ila suka inammaliza now faw mpya wanaiita MAYELE sababu ya kutetemeka tetemeka [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hamna mbongo anaweza kununua brand new Scania , tunaishia tuu kununua hizi mitumba za Scania , ambazo saa ingine kufika Morogoro inazaa , hazina warranty.
hujui chochote sasa pale scania tanzania daily wanauza gari 0 milleage wanazitoa wapi? hizi nextgen ni mpya zinashushwa deile asas ameshusha kibao last week
 
Sio uchafu mkuu , MO asingenunua , wewe una akili kama MO ?
 
Bado haijatokea gari ya kishindana na scania ,mfano mdogo tu angalia abood ana scania marcopolo namba A zipo hadi leo zinadunda na mpya bado, angalia mchina namba hata niambie hali yake, scania huwezi kulinganisha gari ya mzungu na ya mchina hata siku moja
 
Sio uchafu mkuu , MO asingenunua , wewe una akili kama MO ?
Sasa huyo mo anayesema kalipa 20b ambazo hazionekani pia unamuamini, muhindi siku zote anaangalia unafuu na si ubora ,dereva ndio utateseka na kufa mapema, mfano howo akimpa gari kwa mkopo nafuu si lazima achukue lakini haimaniishi ni bora kuliko scania, wewe si unaona yale magari sijui mabajaji yake ya kusambazia bidhaa yanapiga makelele na kutoa moshi unadhani yule dereva akizeeka atakuwa na hali gaani
 
Upo sahihi mkuu waboss wanajiangalia wao
 
Tatizo mnajadili kwa ujumla mno!! Uzito wa kazi ni upi?

Uzito wa kazi utakaoiangamiza Howo, ndio huo huo utakaoangamiza R380, G380, P380 & 114 380.
 
Dereva wa Howo ndani ya miezi 3 lazima aanze kutumia dawa za maumivuu ya mgongoni.. Akizidisha miaka 2 bhas na kazi kule maeneo inakuwa hamna.. Dakika tu kwishaa...

Kwa kazi za muda mfupi kama miradi Howo ni best option and efficient.. Engine ndogo, fuel consumption kidogo na inabeba mzigo mkubwa kuliko Scania.. Ila durability ni ndogo..

Kwa mradi ni sawa maana unaipigisha kazi miaka 5 then unaitema..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…