Ulimwengu wa Scania unaisha. Zuchu Howo ndio mpango mzima

Eti mayeleπŸ˜€
 
TrektaπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wewe
Wewe sio dereva
 
Wewe umeongea bila ushabiki
 
Kwahyo mleta mada unataka kusema mzungu kwenye scania anatupiga mchina akwenye howo ana bei nzuriπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nitajie makampuni yanayotumia howo kupeleka mizigo kongo na je? Perfomance yake ni sawa na scaniaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ umaskini usibadili umuhimu wa vitu fulani. Hizo howo ni gari za sehemu ya kazi na umbali mfupi ila scania muache kama alivyo ni mziki mwingine. Kwa nchinza kiafrika sitashangaa mchina akishika soko ila scania hawez kufa leo wala kesho nchi za ulaya hukuti howo hata siku moja
 
Tukiachana na habari za Howo.. naomba kuuliza wafuatao hela wanapata wapi?; Asas, Gsm, oveland na usangu. Hawa viumbe njia zote wamechafua na malori yao.
kuna wanaume hujawaweka hapo hata overland ni cha mtoto tuu asas levo yake kina super star fowarders mzee overland scania alikuwa ananunua used na mahowo mafaw
 
Mkuu ngoja nikumbie,kuna Volvo alizinunua Azam miaka ya 2008 kama sikosei kwa akili ya route ya Uganda na Rwanda kupeleka unga,zile gari mpaka leo zinapiga KAZI fresh kabisa, sema ingekuwa faw Leo hii zingekuwaje
anazo faw nimechoka balaa na ni trip town [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Unaongelea kuhamisha watu wanaohama? Au kubeba vifusi? Kama ni hivyo basi Howo anashindana na Kurikuu, siyo Scania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…