Ulimwengu wa Scania unaisha. Zuchu Howo ndio mpango mzima

Kulinganisha Scania na Howo ni kuivunjia heshima Scania. Mchina anakupa kitu famba kwa bei chee. Sawa na hawa wamiliki wa mabasi wanavyokimbilia kwenye Yutong. Ila Scania anabaki kuwa kwenye ulimwengu wa pekee.
 
Hahahahahha
 
MO kuhusu vyombo vya usafirishaji kiukweli yupo local sana, yani ana ubahiri wa kipumbavu.

Unaweza ukawa unasikia sauti ukawa unajiukiza hili power tiller linatafuta nini huku mjini, ukigeuka nyuma unakutana na gari la MO
 
Scania ndo top kwa ruti ndefu achana na mchina yupo kimaslahii zaidi anakuletea bidhaa kutokana n pesa yako
Scania is the top for long transport
 
unapozungumzia kazi ngumu na nzito howo ni habari nyingine kabisa mzee ,kigongo cha kupanda na mamba2 scania, howo inapanda na4 au5 wewe
 
unapozungumzia kazi ngumu na nzito howo ni habari nyingine kabisa mzee ,kigongo cha kupanda na mamba2 scania, howo inapanda na4 au5 wewe
Mda huo wamebeba uzito gani?

Toa mifano ya vigongo vitatu tu ambavyo scania inapanda na 2 halafu howo ipande na 5!!!

Halafu uwe specific ni series/model gani ya scania unayoizungumzia..
 
unapozungumzia kazi ngumu na nzito howo ni habari nyingine kabisa mzee ,kigongo cha kupanda na mamba2 scania, howo inapanda na4 au5 wewe
Kwani Howo haifiki ARUSHA kutokea Dar au Mwañza kutokea Dar ? Kama inafika basi acha nijilipue kwa Howo ,
 

Tatizo analysis umeangalia tu hapa nchini ukadhani dunia yote scania haina soko. You are very very wrong
 
Acha uongo mkuu
 
Mkuu chukua maua YAKO
 
Kipindi hicho 113E au 113H 360hp zilifanya mambo makubwa sana!

Hakukuwa na heka heka za mizani kama siku hizi..

Ipo 113 moja tank(draw bar) pale KUGIS KAGERA, ni kumbukumbu nzuri sana ya gari zilizokuwa na ubavu miaka hiyo.

Natamani mngeziona!!!!
113E 'extra heavy duty' za kugis kagera nyingi zilitengenezewa Tamco kibaha miakw ya 90
113H 'heavy duty 'nyingi zilitokea nje ya nchi . 113e na 113h zote zilikuwa ni 6x4 double diff with low range hub reduction, mfumo ambao mchina ndo anatamba nao miaka hii
 
Kwenye biashara ya basi mtu pekee ambaye amepeleka basi za kichina kwa muda mrefu na kwenye njia ngunu nadhani ni super feo wa Ruvuma .
Nadhani ndo alikua mtu wa mwanzo kabisa kutumia yutong
Kama stori za basi za kichina kuwa zinrudisha pesa mapema ,feo asingehamia Scania
 
Check calculationi Sasa siti 60 na siti 180 wote wanauza sawa kwa siku nani atawahi rudisha pesa haraka.
Scania ni ishu ya kudumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…