Ulinzi Mkali kwa Kesi za Viongozi wa Kiislam, Usawa Uko Wapi?

MAFILILI

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2011
Posts
2,377
Reaction score
1,197
Mahakama ya Kisutu kumezuka mtindo unaoashiria ubaguzi kwa kesi zinazowahusu wafuasi ama viongozi wa dini ya Kiislam.Siku za karibuni, tumeshuhudia matumizi ya gharama kubwa zisizo na sababu kwa kesi za waislam kama vile ya Sheikh Ponda na Watuhumiwa wa Fujo Mbagala.
Siku za kesi husika, watu wote wanaongia Mahakamani Kusutu wanakaguliwa kwa kutumiwa kamera za CCTV, pia ulinzi wa askari wenye magwanda na makachero unakuwa mkubwa.

Hali ilikuwa tofauti wakati wa kuendesha kesi za viongozi wa dini ya Kikristo, mfano Mchungaji Mtikila na Padre Kimaro (Kesi ya Ubakaji mtoto wa Kanisa).
Hali hii isifumbiwe macho ipo siku itakuja leta machafuko nchini mwetu kwa uonevu wa waislam katika vyombo vya dola ambayo vinagharamiwa na kodi ya wananchi wote. Ikumbukwe kabla ya hukumu wote huwa ni watuhumiwa, lakini nchini mwetu watuhumiwa wa Kiislam wanachukuliwa tofauti. Twaomba katiba mpya itanbue mahakama ya kadhi, ili tuepukane na uonevu unaombatana na MOU
 
saudari7.jpg

Waislamu wanaogopwa kutokana na sifa za kujilipua
 
Vipi ndugu yetu umetoka mbingu gani? Inaonyesha umesahau. Ponda kama Ponda yuko katika ulinzi tangu anaamka kuja mahakamani. Tatizo nyie wafuasi wake ambao mmekuwa mkisema liwalo na liwe, lazima kieleweke lengo mkitaka Ponda aachiwe kwa dhamana. Dhamana ina masharti kama kesi yako inastahili dhamana basi fuata masharti kama haina dhamana basi subiri proceedings hadi hukumu haki ifuate mkondo wako. Nadhani nimekujibu bila jazba wala matusi nategemea hata wewe utakuwa muungwana kufuata nyayo zangu.

Ukipigwa "KOFI upande wa Kushoto mgeuzie upande wa KULIA pia, Ukinyang'anywa KOTI mwachie na SHATI" Usilipize KISASI.
 
Kuna tofauti kati ya GAIDI na asiye kwa hiyo mtoa mada umesahau kama hao ni magaidi unataka wajitoe mhanga wamdhuru nani? Ulinzi utadumishwa mpaka atie akili
 
tafadhali tuombe radhi, Sheikh Ponda ni kiongozi wetu muadirifu aliyejitolea kupigania mali za waislam kwa gharama yeyote MTOFAUTISHE na Gaidi
 
Wachungaji wa DECI hadi hii leo hawapati kibano wawapo Kisutu pamoja na kuwatia umaskini raia wengi
 
Muogopeni Ponda kama sumu ya nyoka..Mtu mmoja anaweza kuwagawa watanzania zaidi ya mil.44,bora na Ijumaa siku hizi imekuwa siku ya amani.siku za nyuma ijumaa nilikuwa siendi kariakoo wala posta nilikuwa nimekwisha ifuta siku hiyo kwenye shughuli zangu za kupata mkate.
 
Kuna tofauti kubwa kati ya wakrito na waislam.
Bila huo ulinzi mahakamani si ungukuta mahakama imechomwa¿
 
Kwani wewe hujui tatizo la ugaidi hapa duniani?
 
Muogopeni Ponda kama sumu ya nyoka..Mtu mmoja anaweza kuwagawa watanzania zaidi ya mil.44,bora na Ijumaa siku hizi imekuwa siku ya amani.siku za nyuma ijumaa nilikuwa siendi kariakoo wala posta nilikuwa nimekwisha ifuta siku hiyo kwenye shughuli zangu za kupata mkate.
Hatuwezi kumuogopa mtu dhaifu kama Ponda.Asiyejua anatoka wapi na anakwenda wapi,huyu ni sawa na boya ndani ya maji!
 
hata shuleni wanafunzi watukutu huwa wanaangaliwa kwa umakini zaidi, mnategemea kwa staili yenu ile ya maandamano mfanyiwe sawa na mtikila au kimaro ulisikia lini wakristo wameandamana kwa sababu ya mtikila au kimaro. muwe mnajaribu kuunganisha doti kabla ya kulaumu tu bila sababu malalamiko mpaka tunachoka kama machafuko na yaje tu "my foot"
 
Ukitaka kumdhibiti kichaa lazima umfunge kamba. Hiyo ndio njia pekee ya kuwashughulikia wendawazimu kwasababu ni vigumu kujua wala kudhani dakika moja ijayo atafanya nini. Chezea polisi weye....
 
Mahakama ya Kisutu kumezuka mtindo unaoashiria ubaguzi kwa kesi zinazowahusu wafuasi ama viongozi wa dini ya Kiislam.Siku za karibuni, tumeshuhudia matumizi ya gharama kubwa zisizo na sababu kwa kesi za waislam kama vile ya Sheikh Ponda na Watuhumiwa wa Fujo Mbagala.
Siku za kesi husika, watu wote wanaongia Mahakamani Kusutu wanakaguliwa kwa kutumiwa kamera za CCTV, pia ulinzi wa askari wenye magwanda na makachero unakuwa mkubwa.

Hali ilikuwa tofauti wakati wa kuendesha kesi za viongozi wa dini ya Kikristo, mfano Mchungaji Mtikila na Padre Kimaro (Kesi ya Ubakaji mtoto wa Kanisa).
Hali hii isifumbiwe macho ipo siku itakuja leta machafuko nchini mwetu kwa uonevu wa waislam katika vyombo vya dola ambayo vinagharamiwa na kodi ya wananchi wote. Ikumbukwe kabla ya hukumu wote huwa ni watuhumiwa, lakini nchini mwetu watuhumiwa wa Kiislam wanachukuliwa tofauti. Twaomba katiba mpya itanbue mahakama ya kadhi, ili tuepukane na uonevu unaombatana na MOU

Kweli ndugu yangu nakusifu kwa kuliona hilo na kutambua kuwa kuna ulinzi mkali..haswaaa hilo ndo linalotakiwa kwao kwa sasa. Historia na matukio yanayowahusu ndio yanayosababisha nakulazimu kuwe na ulinzi huo..wenzetu wale huwa hawana subira wa stahaa kujua kila shughuli ina utaratibu fujo kwao ni moja ya tamaduni...lakini ni jambo la kushukuru sana kupata ulinzi, kwani unafikiri ni wote waliofurahishwa na jambo lililojitokeza mbagala..isitoshe kwa mtuhumiwa ulinzi hauna madhara bana ni moja ya ya yaliyomo kwenye nature yake.
 
Mahakama ya Kisutu kumezuka mtindo unaoashiria ubaguzi kwa kesi zinazowahusu wafuasi ama viongozi wa dini ya Kiislam.Siku za karibuni, tumeshuhudia matumizi ya gharama kubwa zisizo na sababu kwa kesi za waislam kama vile ya Sheikh Ponda na Watuhumiwa wa Fujo Mbagala.
Siku za kesi husika, watu wote wanaongia Mahakamani Kusutu wanakaguliwa kwa kutumiwa kamera za CCTV, pia ulinzi wa askari wenye magwanda na makachero unakuwa mkubwa.

Hali ilikuwa tofauti wakati wa kuendesha kesi za viongozi wa dini ya Kikristo, mfano Mchungaji Mtikila na Padre Kimaro (Kesi ya Ubakaji mtoto wa Kanisa).
Hali hii isifumbiwe macho ipo siku itakuja leta machafuko nchini mwetu kwa uonevu wa waislam katika vyombo vya dola ambayo vinagharamiwa na kodi ya wananchi wote. Ikumbukwe kabla ya hukumu wote huwa ni watuhumiwa, lakini nchini mwetu watuhumiwa wa Kiislam wanachukuliwa tofauti. Twaomba katiba mpya itanbue mahakama ya kadhi, ili tuepukane na uonevu unaombatana na MOU
Wewe si ndiye mtetezi mkubwa wa CCM? Sasa hapa unamlalamikia nani? Na bado
 
Back
Top Bottom