MAFILILI
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 2,377
- 1,197
Mahakama ya Kisutu kumezuka mtindo unaoashiria ubaguzi kwa kesi zinazowahusu wafuasi ama viongozi wa dini ya Kiislam.Siku za karibuni, tumeshuhudia matumizi ya gharama kubwa zisizo na sababu kwa kesi za waislam kama vile ya Sheikh Ponda na Watuhumiwa wa Fujo Mbagala.
Siku za kesi husika, watu wote wanaongia Mahakamani Kusutu wanakaguliwa kwa kutumiwa kamera za CCTV, pia ulinzi wa askari wenye magwanda na makachero unakuwa mkubwa.
Hali ilikuwa tofauti wakati wa kuendesha kesi za viongozi wa dini ya Kikristo, mfano Mchungaji Mtikila na Padre Kimaro (Kesi ya Ubakaji mtoto wa Kanisa).
Hali hii isifumbiwe macho ipo siku itakuja leta machafuko nchini mwetu kwa uonevu wa waislam katika vyombo vya dola ambayo vinagharamiwa na kodi ya wananchi wote. Ikumbukwe kabla ya hukumu wote huwa ni watuhumiwa, lakini nchini mwetu watuhumiwa wa Kiislam wanachukuliwa tofauti. Twaomba katiba mpya itanbue mahakama ya kadhi, ili tuepukane na uonevu unaombatana na MOU