Ulinzi wa Kagame, mbona hana Mwanajeshi nyuma?

Kumbe sio Sheria.. Asante mkuu
 
Sidhani kama ni maraisi wote wanakuwa na hao wajeda nyuma.....kama nakumbuka vizuri, viongozi wengi wa Duniani huko siwaoni wakiwa na wajeda nyuma.....Obama alipokuja, Bush, Clinton, na hata yule dogo wa Ufaransa......
Jaribu kutazama vyema, Obama alikuja naye pia. Tena yule anayebeba lile begi jeusi.
 
haya mambo mengine sio ya kuhoji sana ni zaidi tuyaonavyo watu wa itifaki na jeshi wanajua zaidi. inawezekana ilisahaulika kwa bahati mbaya mtu akupangwa hivyo lijadili sana linaweza kuleta madhara kwa wahusika hebu tukubali ndivyo ilivyokuwa.
Sawa mkuu.
 
Mambo mengine tuwe twayacha maana hayatusaidii kitu
Haikusaidii wewe mkuu.

Wengine tunataka kujua zaidi mambo ya protocol kama wewe unavyojua kuhusu IT etc.

Ficha ujinga wako kwa kukaa kimya.
 
Asante mkuu.

Vijana tunasema umetishaaaa
 
Mkuu heshima kwako tafadhari popote ulipo
 
State visit ndio inakuwa na vukorombwezo vingi ambavyo ktk ziara hii (not state visit) havikuwepo
Ikiwemo KUPIGIWA MIZINGA

NB: Knowledge from CENTRE FOR FOREIGN RELITIONS (CFR) KURASINI

Lecturer: Amb. Chilambo
Inaaitwa working visit ...mgeni kama...ni C.in C anakotoka...atapewa body guard au aide de camp...lakini hatavaa ceremonial.....tofauti huyu hajapewa kabisa.
Je...haliamini...letu ...au ni ishara gani...protocal...huwa inafuatilia kila kitu na...kukichambua ......mfano hata usipomuwekea carpet au ukaweka carpet limezeeka watu wake watachukulia...umedharau
 
Sasa huu ndio...ubobezi

Lakini kuna wakuu wengine wa nchi huko...nyuma...walikua official or working visit ie museveni...na...wakachukua aide de camp...wetu ni...ishara ya heshima...tu na.kuonyesha kuaminiana ....na...aide de camp aliyekuja naye anakuwa...tu karibu ..kumuangalia na kumsaidia aide de.camp...wa...host
 
Eti eeeh

Wanaojua...huwa hawaji na...lawama...hata wanaojua bado hujielimisha

Be humble
 
Nchi nyingi zilizoendelea zmeanza kuepukana na kuwa na. ADC nyuma ya rais maana tofauti na kuonyesha kuwa rais ni Amiri jeshi mkuu hana kazi yoyote wengi sasa wamekuwa wanaweka walinzi madhubuti wenye weledi
Ni kweli huo...ni mfumo...wa kiulinzi...wa...russia ,usa,france ...etc
Hao hawana.mlinzi anayevaaa uniform...except wana...sergent on.duty yeye huvaaa...uniform maalum...kubeba...briefcase yenye password za insrallation muhimu za...kijeshi kama...nuclear...launchers.

Nchi nyingi za afrika ziliridhi mfumo wa kifalme yaani...rais anakuwa.anachaguliwa lakini.ana...nguvu ukienda UK queen...akiwa kwenye formal...state duty ana...msaidizi wa...kijeshi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…