Phillemon Mikael Kama hujui protocol ni vyema ukauliza kuliko kukurupukia ushabiki wa kisiasa na kujifanya unajua mambo. Kila tendo la kitaifa lina protokali kutokana na aina ya shughuli.
Kuna wakati Zitto alilalamika makamu wa Rais wetu kupokelewa na waziri huko Kenya kwa sababu tu ya kujifanya anataka kuongea alichokiona na si protokali inavyofanya kazi.
Wewe pia umefanya kama alivyofanya Zitto. Uliza ujibiwe badala ya kuleta uzi usio na utalaam nao kwenye jamii halafu ukajifanya unajua kuliko wanaoshinda wakijishughulisha na hizo kazi.