Ulinzi wa Kagame, mbona hana Mwanajeshi nyuma?

Ulinzi wa Kagame, mbona hana Mwanajeshi nyuma?

Sidhani kama ni maraisi wote wanakuwa na hao wajeda nyuma.....kama nakumbuka vizuri, viongozi wengi wa Duniani huko siwaoni wakiwa na wajeda nyuma.....Obama alipokuja, Bush, Clinton, na hata yule dogo wa Ufaransa......
 
Hao wanajeshi ni wapambe/wasaidizi wa rais na sio walinzi wake,kwa lugha ya kigeni anaitwa Aide de Camp(ADC). Huyo ndio mbeba mkoba wa rais kila anakokwenda.Amir Jeshi mkuu kwa nchi zetu za kiafrika lazima awe na mpambe toka jeshini tena mwenye cheo kuanzia Kanali sana sana au Major kama rais akipenda.
 
IMG_20180115_134205.jpg
 
haya mambo mengine sio ya kuhoji sana ni zaidi tuyaonavyo watu wa itifaki na jeshi wanajua zaidi. inawezekana ilisahaulika kwa bahati mbaya mtu akupangwa hivyo lijadili sana linaweza kuleta madhara kwa wahusika hebu tukubali ndivyo ilivyokuwa.
 
Huyo mjeshi Aide de camp ADC yani mpambe wa Rais sio lazima avae gwanda ivo Japo kwa nchi yetu ADC huvaa gwanda, ADC humsaidia Rais majukumu madogo madogo kama Kubeba mafile au kumsogezea kiti, Linapokuja swala la Ulinzi wa Rais kwanza limegubikwa na USIRI mkubwa sana Kila nchi au Taifa lina mifumo yake ya kumuweka Rais safe japo kuna vitu General Nchi na nchi vinaweza kushare, Mfano Detail Ya Rais yoyote Lazima iwe na Leader Huyu huitwa Detail leader mara nyingi hukaa mkono wa kushoto wa rais anaemlinda na huongoza Unit nzima Ya walinzi Wanao onekana na Wasio onekana angalia huyo jamaa kushoto mwa Jpm, Hawa Detail leader huvaa mara nyingi kufanana na wanaomlinda na wanaeza kutofautiana kidogo kwa ki icon kwenye koti lao au Rangi za Tai
f7c4f405a9cba2244a2989d0bbe45d1f.jpg
 
Ukitaka kujua hapo kama Kagame alikuwa na ulinzi au la,tazama hizo suti nyeusi.
 
  • Thanks
Reactions: dtj
Kama inasemekana walinzi wa rais wa Tanzania ni wakutoka kwa wa asisi wa Bahima empire basi hakuna shaka kuwa wale wanao mlinda wa kwetu ndio wanamlinda naye kwa sababu ni kama yupo nyumbani!!!
 
Yuko ndani ya nchi ya AMANI na ndani ya East Africa.the way sometimes siyo kila jambo la kujadili maana ni maamuzi tu hutokea mahala palipohakikiwa usalama.nchi yetu ina idara ya ulinzi imala sasa alindwe kwa kufuata utaratibu au ulinzi wa nguvu kweni sisi ni wabaya kwa kiongozi wa Rwanda mpaka asiwe salama?vitu vingine ni kawaida tu na tuviache vipite
 
Ye mwenyewe soldier hahah.

Swali lako mtoa mada ni fikirishi kidogo,hata siku Magu anaapishwa pale uwanjani kagame alishuka peke yake kwenye gari akaenda jukwaani,

Wale watangazaji wa Azam wakawa wanashangaa wanasema tunaona mh. Kagame anashuka mwenyewe kwny gari bila escort yoyote.
 
Back
Top Bottom