Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dogo wa Ufaransa amewahi kuja?Sidhani kama ni maraisi wote wanakuwa na hao wajeda nyuma.....kama nakumbuka vizuri, viongozi wengi wa Duniani huko siwaoni wakiwa na wajeda nyuma.....Obama alipokuja, Bush, Clinton, na hata yule dogo wa Ufaransa......
Mkuu hatuwezi kufanana kimawazo kila kitu kinatokea kwa Sababu wewe kama unaona hakina msaada kwako wala haupo interested nacho basi sio Pia unataka mtoa mada afanane na wewe.Mambo mengine tuwe twayacha maana hayatusaidii kitu
Nadhani umeunganisha sentensi, au kwakuwa nimetanguliza waliowahi kukanyaga ardhi hii??? Neno "hata" lingetosha kukugutusha kabla hujajibu.....Dogo wa Ufaransa amewahi kuja?