Ulinzi wa Rais: Ndani ya nchi vs Nje ya nchi

Hapo uwanja wa ndege kulikuwa na umati mkubwa?
Mimi nadhani ni dhamira kuu ni kutisha wananchi na kuwateka kimawazo ili waone taasisi ya urais ni kama ukuu ambao una nguvu kuu na hauchezewi. Tuna tuna watawala na siyo viongozi, na ni kawaida sana kwa watawala kutaka kujionyesha ni watu wenye uwezo na mamlaka kuu!

Watu wasio na upeo wakiona picha na video kama hizi hutishika na kumwona rais kama mungu mdogo asiyehojiwa bali anatakiwa kuogopwa. Nasema hivi kwa sababu kwa hali ya kawaida kama kuna adui anayetaka kumdhuru hilo la kushika bunduki kama wapo tayari kufyatua halisadii chochote bali linatoa mwanya wa kuwashambulia!
 
Kwani wewe kwa akili yako ya kawaida tuu ya kuzaliwa unadhani kati ya Tanzania na ufaransa au ubelgiji ni nchi ipi ina uwezo mkubwa kiintelinjensia na kiulinzi?
 
Wanamuogopa Ndugai na genge lake asijelipiza kisasi kwa hangaya na wapambe wake
 
Hawa dawa yao ni Kingai
 
Wakati wa Jangili Msukuma mwenzako uliuliza haya??

Au unataka kusema hakuwa anasafiri nje ya nchi??

Mamako maji yanaingia ndani pale Mbezi Shule. Kwani hizo box unabeba unashindwa kununua mabati mengine ya Lowassa ukafix pale??
Vipi unaonaje ulinzi wa kipenzi chako hangaya?
 
Hakuna hasara yoyote rais akidhurika au hata kuuawa kwa katiba ya Tanzania.
Very simple, hakuna uchaguzi Wala Nini, VP anapandishwa kuwa P. Kwisha kazi.
 
🇹🇿 ni nchi ya kigaidi kuliko Somalia
 
Magufuli wako mshamba alikuwa anajilinda hadi kitandan kwa uzalendo wake feki lakin watoto wa mjini walipita nae simpo tu, hvyo kaa kwa kutulia dawa ikuingie vzr

Halafu mkiambiwa nyie ndio mlimlia timing kwavile aliipiga pini miradi yenu ya gesi ya kifisadi mnabisha!! Sasa mtaanza kutajana mmoja mmoja nani alimuondoa Jiwe!!
 
Kwa upande wangu naona hayo ni matumizi mabaya ya Rasilimali Watu Ifike wakati na sisi tubadilike
Arhaa
 
Mambo mengine hayakuhusu.sanasana ni umbea tu na kujifanya kujua sana.Muulizeni Mbowe wenu.
 
Unataka Tanzania iwe kama Ulaya halafu matendo yako unafanya kama inavofanya Serikali ya Uganda.

Yani kwa lugha nyepesi tunasema unaimba kama malaika halafu unacheza kama shetani.[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kitu ambacho huwa sielewi yaani watu wamekaa hadi na bunduki utasema ili taifa la kimapinduzi

Kuna muda ukitazama kwa jirani tu pale rwanda au kenya mambo ya mitutu au mtu akiwa ziaranj kuzungukwa na kombati nyingi ni kwa uchache.
Mama anataka kuonyesha kuwa ame prove kuwa the best hadi sasa akidhani jinsia inambeba, kumbe waliomzunguka wanamharibia mazima. Asipo mwachia Mbowe 2025 itakuwa ngumu sana atalazimika kuachia.
 
Kwa nchi za Afrika Rais ni mbadala wa machifu ambao walikuwa wananyenyekewa kupita maelezo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…