Tumaini Makene
JF-Expert Member
- Jan 6, 2012
- 2,650
- 6,084
Mkuu Ulinzi wa Rais ni muhimu na lazima atake asitake. Hata Hao naona haitoshi.
Laiti kama Marekani wangejua ulinzi wa Rais sio wakufanya nao msikhara huenda John Kennedy asingeuliwa.
Attack kwa Rais ni aibu kwa nchi na doa lisilofutika. So yes, Rais anastahili kulindwa kwa ulinzi wa Hali ya juu sana kutokana na hasara zitakazotokea endapo atadhurika.
Umeweka vizuri. Sijawahi kuelewa kwanini kuna watu wanahoji au wanatamani ulinzi wa rais uwe mdogo au mwepesi. Huwa sielewi hasa malengo ya fikra hizo kwa kweli.