Ulinzi wa Rais: Ndani ya nchi vs Nje ya nchi

Halafu pia ulinzi wa malkia Elizabeth,Obama na pia putin ni the same case ..au unasemaje hapo MtamaMchungu
 
Kati ya wote waliokwisha kuchangia hoja kwenye uzi huu, mpaka page hii, wewe ndo umejibu kwa usahihi swali ndani ya hoja ya Nyani Ngabu

Yaani, hii inaitwa "psychological intimidation" itokanayo na yule anayeogopesha watu kuwa na ile hali ijulikanayo kama "fear of unknown" na hutuma taarifa kwa wale wasiojulikana awaogopaye kuwa "na mimi niko vizuri, jaribuni muone....!!"
 
We mzee Mgaya nyani ngabu, siyo chadema bali Lumumba mwenzio, ila sema kwa Sasa yuko against na Bi Hangaya, si unajua tena yeye ni S-Gang
 
Yako matukio yaliyoshitua dunia - kifo cha John F Kennedy (USA); Aman Abeid Karume (Zanzibar). Hapo lzm tujifunze kuimarisha ulinzi wa viongozi wetu.
 
it is like a video game. yaani mtu hayuko salama kwake ila ugenini
 
Kule uwa ana tembea kama boya mmoja tu hivi watu hawana time nae. walinzi wenyewe ndo wale wapasua mawe na t shirt zao risasi moja tu chaliiii
 
Amalize tu muda wake wa miaka 5, atuachie nchi yetu..
 
Huo ulinzi mkubwa wa hao wanajeshi hapa nchini ni wa nini?
Msije mkamuua Mama wa watu!! Kwa kumshika shika!! kila mtu..... km mlivyo mpiga kikwete mweleka!! ..... mzee mwinyi mkampiga makofi msikitini....... km shangazi yako tu anakuroga usifanikiwe kutorokea mjini, ukawashinda wanae vimeo kwa maendeleo sembuse Rais?
Ina maana nchi yetu haiko salama kama tunavyoamini kiasi cha kuufanya ulinzi wa Rais nje ya nchi uwe ni mdogo kulinganisha na ule wa hapa nchini?
Kama Raia tu unapigwa ngeta usiku ukitoka zako Bar au asbuhi ukienda kazini sembuse Rais?? au ndo nyie wapiga roba?? mnatuzuga tu!! ukiona hujawahi kutaka kuporwa !!basi amini tu huna mvuto wa chochote hata kipesa pesa!!
Rais wetu anakuwa salama zaidi akiwa nje ya nchi kuliko akiwa ndani ya nchi?
Nilisha waambia kitambo sana!! kikulacho ki nguoni mwako!! Nyerere alisema ''mvunja nchi ni mwananchi mwenyewe!!.... kina kambona hao, ....father Thom! nk, na njaa zenu hizo si mta muua!

kwanza hata madaktari tunawapa ulinzi sasa!
 
Huo ulinzi unadhihirisha ujinga uliokithiri kwenye kitengo. Kitengo siku zote kimejikita kwenye physical security details. Kwingineko wamewekeza kwenye invisible security details tena wakipachikwa katikati ya audience wakifanana na audience.
Wenzetu wanafikiria mbali impacts za images za viongozi wao wa kitaifa! Hivi imagine unaenda Dubai Expo alafu unapokelewa na mitutu... NO hizo picha zitatuma waves of negative communications na zitaharibu kila kitu!
Sisi Tanzania watu bado hawajui madhara ya kumzunguka SSH na heavily armed + uniformed security details. Kifupi picha inatafdsiriwa kuwa nchi haiko salama.
No wonders pamoja na misele yote kuhimiza wawekezaji wageni waje nchini still we dont get that much!
We are sending negative waves of communications on our internal security!

(Sijuhi kama wataelewa 🤔🤔🤔)
 
Jamaa hawajaa vaaa hata bullet vest

Akitokea sniper anawadungua vizuri tu.

Wanamlinda rais wakati usalama wao kwanza uko uchi
Unajidanganya sana wewe mwana kijiji tuulizie sisi ma born town-------kila wananchi kumi kwenye hiyo audience wana kuwa monitored na mwana usalama mmoja mwenye kila dalili za uraia, kabla hujachomoa Kabastola kako wanakutuliza faster kimyaaaaaa! na polepoleeee! ......
na hata Rais kuja kupiga domo hapo walisha tangulia kitambooooo!

yoote haya hutokea yeye Rais anaendelea na zake! km hkn kitu vile kimetokea vile, ni wachache sana twaweza jua nini kinaendelea!...... na yule anae kustukia yeye ataendelea na zake,,na

zaidi kuangalia mko wangapi kwa idadi ktka mpango huo, hao komandoo watao kudabua watafika hapo kwako faster bila kutarajia!!! ..utafinywa wewe na naniliu la mama chenja hutaligusa tena watalichezea wenzio!

tena sometimes kwa kuruka juu moja mbili, tatu, unajazwa mkononi, utajiuliza tu imekuwaje wakanifikia faster hivi??.......ulinzi wa viongozi wale wanatumia uni forms zozote wanazo oona zina faa kwa wkt maaluum!
 
Africa inachekesha sana...kwa knowledge yangu ndogo nilionayo sishindwi mfikia kiongozi yoyote anaelindwa africa hii..ni kujisumbua tu...labda hao mabodigadi wakulinde na kurushiwa mawe au mtu kumsogelea raisi....ila hapo ukirusha tu hata greenade wanachanganyikiwa


Kuna vindege flan remote control zinatumia mafuta jet A kabisa ....kana mlio kama jet yani ukiwa navyo viwili tu kila kimoja kimebeba greenade kadhaa zizunguke uwanjani zidondoshe sita tu moja karbu yao hapo ndo utagundua hakuna ulinzi hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…