4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Watu hawajakataa ulinzi ,ila ulinzi ambao Kama unaenda Taiwan kupigana vita , ni sifa zisizo na maana , anaweza kuwa na ulinzi mkali,ila sio lazima kuwa na mabunduki,live yamebebwa mabakabakaMarekani kwenyewe ulinzi wa rais siyo mchezo,hata Vatican kwa papa ulinzi ni wa hatari,Mungu kakupa akili,itumie,usiacheache nafasi ya adui kukumaliza,eti namuachia Mungu.
Labda wameona pamoja na jammer car bado ilishindwa kuzuia moyo usisimame.Tangu akiwa ziara ya Arusha alipokutana na wakuu wa nchi za jumuiya ya Afrika Mashariki na sasa yupo mkoani Mbeya, nimegundua kama ulinzi umebadilika kiaina.
Zamani tulizoea kuona jammer car katika msafara wa Rais lakini kwasasa gari lile halionekani kabisa.
Pia wale jamaa zetu wenye silaha nzito ambapo kipindi cha awamu ya 5 kuna waliosema wanatokea kwa "tolu" siku hizi hawapi tena kwenye msafara wa mama.
Je kuna mabadiliko katika ulinzi wa Rais Samia?View attachment 2317044View attachment 2317045
Siyo kila kitu unahoji hoj
Ukiona hivyo huyo hataki buburuzwa kikondookondoo ndio maana anahoji Kila kitu🤔Siyo kila kitu unahoji hoji bwashee!
Watu wengine sijui mnawazaga nini😂😂Labda wameona pamoja na jammer car bado ilishindwa kuzuia moyo usisimame.
Nchi insongozwa kishamba Sana enzi za mwl.Nyerere Ikulu ya magogoni ilikuwa na Fence ya michongoma tu na tukumbuke tulikuwa makao Makuu ya Nchi za Ukombozi Kusini mwa Africa Kaburu alikuwa anatuwinda usiku na mchana ...Tangu akiwa ziara ya Arusha alipokutana na wakuu wa nchi za jumuiya ya Afrika Mashariki na sasa yupo mkoani Mbeya, nimegundua kama ulinzi umebadilika kiaina.
Zamani tulizoea kuona jammer car katika msafara wa Rais lakini kwasasa gari lile halionekani kabisa.
Pia wale jamaa zetu wenye silaha nzito ambapo kipindi cha awamu ya 5 kuna waliosema wanatokea kwa "tolu" siku hizi hawapi tena kwenye msafara wa mama.
Je kuna mabadiliko katika ulinzi wa Rais Samia?View attachment 2317044View attachment 2317045
Hakuna taarifa za tiss wala nini ni mbwewe na matumizi mabaya ya pesa za umma. Viongozi wa kiafrica wanapenda sana kuabudiwa. Huku mikoani wakija viongozi ni shida na shughuli zote husimama. Ndege ya rais au waziri mkuu haija ondoka Dar huku barabara zimefungwa. Akifika msafara magari zaidi ya hamsini.Ulinzi wa rais inategemea na info au hali halisi inayotizamwa na PSU wenyewe au Tiss.
Bunduki kibao huku wanahubiri Tanzania ni kisiwa cha amani!Watu hawajakataa ulinzi ,ila ulinzi ambao Kama unaenda Taiwan kupigana vita , ni sifa zisizo na maana , anaweza kuwa na ulinzi mkali,ila sio lazima kuwa na mabunduki,live yamebebwa mabakabaka
Bila kusahau helikopta 2 juu,Magu bwana 😜😜😜😜Tangu akiwa ziara ya Arusha alipokutana na wakuu wa nchi za jumuiya ya Afrika Mashariki na sasa yupo mkoani Mbeya, nimegundua kama ulinzi umebadilika kiaina.
Zamani tulizoea kuona jammer car katika msafara wa Rais lakini kwasasa gari lile halionekani kabisa.
Pia wale jamaa zetu wenye silaha nzito ambapo kipindi cha awamu ya 5 kuna waliosema wanatokea kwa "tolu" siku hizi hawapi tena kwenye msafara wa mama.
Je kuna mabadiliko katika ulinzi wa Rais Samia?View attachment 2317044View attachment 2317045
Hahaaaaa.......😄Labda wameona pamoja na jammer car bado ilishindwa kuzuia moyo usisimame.
Mkuu unalinganishaje ulinzi wa Reformer Jiwe na mwimba Taarab.Taratibu Mkuu!!Tangu akiwa ziara ya Arusha alipokutana na wakuu wa nchi za jumuiya ya Afrika Mashariki na sasa yupo mkoani Mbeya, nimegundua kama ulinzi umebadilika kiaina.
Zamani tulizoea kuona jammer car katika msafara wa Rais lakini kwasasa gari lile halionekani kabisa.
Pia wale jamaa zetu wenye silaha nzito ambapo kipindi cha awamu ya 5 kuna waliosema wanatokea kwa "tolu" siku hizi hawapi tena kwenye msafara wa mama.
Je kuna mabadiliko katika ulinzi wa Rais Samia?View attachment 2317044View attachment 2317045
Utashangaa mkuu,Bunduki kibao huku wanahubiri Tanzania ni kisiwa cha amani!
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Watu wanakula per diem wewe tulia tuliiiHivi binadamu anaweza kukuhakikishia ulinzi 100%?
Weka ulinzi wa kawaida mengine mwachie Mungu.
Tuwe tunatafakari kabla hatujasema.Kwa kawaida mtu akiwa mhalifu, muuaji na dhulmati lazima atakuwa na hofu ya kuuliwa.
Kwani hujui Papa ni kiongozi wa nini?Papa mwenyewe analindwa kishenzi.
Kaja na ndege buana... sasa hilo gari lije halafu lirudi wakat yeye kesho tu anaasepa zake! unafkiri zaidi ya Mbeya ataenda mkoa mwingine, thu butu!Tangu akiwa ziara ya Arusha alipokutana na wakuu wa nchi za jumuiya ya Afrika Mashariki na sasa yupo mkoani Mbeya, nimegundua kama ulinzi umebadilika kiaina.
Zamani tulizoea kuona jammer car katika msafara wa Rais lakini kwasasa gari lile halionekani kabisa.
Pia wale jamaa zetu wenye silaha nzito ambapo kipindi cha awamu ya 5 kuna waliosema wanatokea kwa "tolu" siku hizi hawapi tena kwenye msafara wa mama.
Je kuna mabadiliko katika ulinzi wa Rais Samia?View attachment 2317044View attachment 2317045
Kwahiyo unataka kusema hao uliowatolea mfano nao walikuwa na ulinzi hafifu ndio maana wakauliwa? Tuache kujidanganya tukafikiri eti kiongozi akiwa na mikorokoro(mnaitwa vifaa vya kisasa vya ulinzi) ndio atakuwa salama.Tuwe tunatafakari kabla hatujasema.
Hivi Shinzo Abe, John F Kennedy Walikuwa wauaji, dhulmati na wahalifu?
Kwa kawaida mtu hawezi kupendwa na watu wote.
Mtu anaweza kukuua kutokana na mitizamo mbalimbali ikiwemo dini, kabila, mgongano wa maslahi, kutokuwa damu yake( hakupendi tu, lakini hana sababu), kutaja chache.
Tangu akiwa ziara ya Arusha alipokutana na wakuu wa nchi za jumuiya ya Afrika Mashariki na sasa yupo mkoani Mbeya, nimegundua kama ulinzi umebadilika kiaina.