4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Watu hawajakataa ulinzi ,ila ulinzi ambao Kama unaenda Taiwan kupigana vita , ni sifa zisizo na maana , anaweza kuwa na ulinzi mkali,ila sio lazima kuwa na mabunduki,live yamebebwa mabakabakaMarekani kwenyewe ulinzi wa rais siyo mchezo,hata Vatican kwa papa ulinzi ni wa hatari,Mungu kakupa akili,itumie,usiacheache nafasi ya adui kukumaliza,eti namuachia Mungu.