Ulinzi wa Rais Samia umebadilishwa?

Ulinzi wa Rais Samia umebadilishwa?

Marekani kwenyewe ulinzi wa rais siyo mchezo,hata Vatican kwa papa ulinzi ni wa hatari,Mungu kakupa akili,itumie,usiacheache nafasi ya adui kukumaliza,eti namuachia Mungu.
Watu hawajakataa ulinzi ,ila ulinzi ambao Kama unaenda Taiwan kupigana vita , ni sifa zisizo na maana , anaweza kuwa na ulinzi mkali,ila sio lazima kuwa na mabunduki,live yamebebwa mabakabaka
 
Tangu akiwa ziara ya Arusha alipokutana na wakuu wa nchi za jumuiya ya Afrika Mashariki na sasa yupo mkoani Mbeya, nimegundua kama ulinzi umebadilika kiaina.

Zamani tulizoea kuona jammer car katika msafara wa Rais lakini kwasasa gari lile halionekani kabisa.

Pia wale jamaa zetu wenye silaha nzito ambapo kipindi cha awamu ya 5 kuna waliosema wanatokea kwa "tolu" siku hizi hawapi tena kwenye msafara wa mama.

Je kuna mabadiliko katika ulinzi wa Rais Samia?View attachment 2317044View attachment 2317045
Labda wameona pamoja na jammer car bado ilishindwa kuzuia moyo usisimame.
 
Akiiona tindo hii picha nadhani akili itamkaa sawa,

Maana yeye alikuwa anasema ulinzi wa hivi anao dhalimu wake tu
 
Tangu akiwa ziara ya Arusha alipokutana na wakuu wa nchi za jumuiya ya Afrika Mashariki na sasa yupo mkoani Mbeya, nimegundua kama ulinzi umebadilika kiaina.

Zamani tulizoea kuona jammer car katika msafara wa Rais lakini kwasasa gari lile halionekani kabisa.

Pia wale jamaa zetu wenye silaha nzito ambapo kipindi cha awamu ya 5 kuna waliosema wanatokea kwa "tolu" siku hizi hawapi tena kwenye msafara wa mama.

Je kuna mabadiliko katika ulinzi wa Rais Samia?View attachment 2317044View attachment 2317045
Nchi insongozwa kishamba Sana enzi za mwl.Nyerere Ikulu ya magogoni ilikuwa na Fence ya michongoma tu na tukumbuke tulikuwa makao Makuu ya Nchi za Ukombozi Kusini mwa Africa Kaburu alikuwa anatuwinda usiku na mchana ...
 
Ulinzi wa rais inategemea na info au hali halisi inayotizamwa na PSU wenyewe au Tiss.
Hakuna taarifa za tiss wala nini ni mbwewe na matumizi mabaya ya pesa za umma. Viongozi wa kiafrica wanapenda sana kuabudiwa. Huku mikoani wakija viongozi ni shida na shughuli zote husimama. Ndege ya rais au waziri mkuu haija ondoka Dar huku barabara zimefungwa. Akifika msafara magari zaidi ya hamsini.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Tangu akiwa ziara ya Arusha alipokutana na wakuu wa nchi za jumuiya ya Afrika Mashariki na sasa yupo mkoani Mbeya, nimegundua kama ulinzi umebadilika kiaina.

Zamani tulizoea kuona jammer car katika msafara wa Rais lakini kwasasa gari lile halionekani kabisa.

Pia wale jamaa zetu wenye silaha nzito ambapo kipindi cha awamu ya 5 kuna waliosema wanatokea kwa "tolu" siku hizi hawapi tena kwenye msafara wa mama.

Je kuna mabadiliko katika ulinzi wa Rais Samia?View attachment 2317044View attachment 2317045
Bila kusahau helikopta 2 juu,Magu bwana 😜😜😜😜
 
Mkuu unalinganishaje ulinzi wa Reformer Jiwe na mwimba Taarab.Taratibu Mkuu!!
 
Kwa kawaida mtu akiwa mhalifu, muuaji na dhulmati lazima atakuwa na hofu ya kuuliwa.
Tuwe tunatafakari kabla hatujasema.
Hivi Shinzo Abe, John F Kennedy Walikuwa wauaji, dhulmati na wahalifu?
Kwa kawaida mtu hawezi kupendwa na watu wote.
Mtu anaweza kukuua kutokana na mitizamo mbalimbali ikiwemo dini, kabila, mgongano wa maslahi, kutokuwa damu yake( hakupendi tu, lakini hana sababu), kutaja chache.
 
Tangu akiwa ziara ya Arusha alipokutana na wakuu wa nchi za jumuiya ya Afrika Mashariki na sasa yupo mkoani Mbeya, nimegundua kama ulinzi umebadilika kiaina.

Zamani tulizoea kuona jammer car katika msafara wa Rais lakini kwasasa gari lile halionekani kabisa.

Pia wale jamaa zetu wenye silaha nzito ambapo kipindi cha awamu ya 5 kuna waliosema wanatokea kwa "tolu" siku hizi hawapi tena kwenye msafara wa mama.

Je kuna mabadiliko katika ulinzi wa Rais Samia?View attachment 2317044View attachment 2317045
Kaja na ndege buana... sasa hilo gari lije halafu lirudi wakat yeye kesho tu anaasepa zake! unafkiri zaidi ya Mbeya ataenda mkoa mwingine, thu butu!
 
Tuwe tunatafakari kabla hatujasema.
Hivi Shinzo Abe, John F Kennedy Walikuwa wauaji, dhulmati na wahalifu?
Kwa kawaida mtu hawezi kupendwa na watu wote.
Mtu anaweza kukuua kutokana na mitizamo mbalimbali ikiwemo dini, kabila, mgongano wa maslahi, kutokuwa damu yake( hakupendi tu, lakini hana sababu), kutaja chache.
Kwahiyo unataka kusema hao uliowatolea mfano nao walikuwa na ulinzi hafifu ndio maana wakauliwa? Tuache kujidanganya tukafikiri eti kiongozi akiwa na mikorokoro(mnaitwa vifaa vya kisasa vya ulinzi) ndio atakuwa salama.
Kwanza kwa nchi zetu za kiafrika ambao tunategemea vifaa hivyo kununua kwa wale tunawaita mabeberu halafu tukajidanganya tupo salama inakuwa ni vichekesho tu.
 
Tangu akiwa ziara ya Arusha alipokutana na wakuu wa nchi za jumuiya ya Afrika Mashariki na sasa yupo mkoani Mbeya, nimegundua kama ulinzi umebadilika kiaina.

Zamani tulizoea kuona jammer car katika msafara wa Rais lakini kwasasa gari lile halionekani kabisa.

Pia wale jamaa zetu wenye silaha nzito ambapo kipindi cha awamu ya 5 kuna waliosema wanatokea kwa "tolu" siku hizi hawapi tena kwenye msafara wa mama.

Je kuna mabadiliko katika ulinzi wa Rais Samia?View attachment 2317044View attachment 2317045

Pamoja na ulinzi, Mungu akimtaka anamchukua muda wowote, kama unabisha muulize mwendazake
 
Back
Top Bottom