Ulinzi wa viongozi nani alitudanganya?

Ulinzi wa viongozi nani alitudanganya?

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Ipo tofauti kati ya ulinzi, usalama na maonyesho ya ulinzi.

Kiongozi mtaani kwenye uwanja wa vita.

FpabmwRXgAApcxn.jpeg


Kiongozi mtaani nchini kwake.

FpeMYnRWIAAf0iK.jpeg


Kwamba hatuna ya kujifunza ila labda wajifunze kwetu?

Siyo siri kuna mahali tuna kwama.

Kwa hakika baada ya CCM yapo mengi ya kuwekwa sawa.
 
Kaangalie ile clip ya AKA akiwa anapigwa risasi moja ya kichwa alafu rudi tena hapa kuandika huu ushubwada,
 
Kaangalie ile clip ya AKA akiwa anapigwa risasi moja ya kichwa alafu rudi tena hapa kuandika huu ushubwada,
Ushubwada umeandika wewe. Nilichoandika miye ni tofauti ya ulinzi na ulinzi wa maonyesho.

Kwa mawazo yako pichani juu hawana ulinzi?
 
Back
Top Bottom