Ambivert88
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 3,609
- 6,388
Wewe ni KENGE kwa HERUFI KUBWA huna akiliUwanja wa vita (war zone) siyo uwanja wa mkapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni KENGE kwa HERUFI KUBWA huna akiliUwanja wa vita (war zone) siyo uwanja wa mkapa
Kuna mwamba alijaribu hivi kule Japan, HATUKO NAYE
Wewe sio tu mjinga wewe ni KENGE yaani level hizo ni zaidi ya mjinga si unajua KENGE lakini? Sasa wewe ni KENGE
Ngalo mwala sana....Msiwe mnakurupuka kuanzisha thread bila kufanya uchunguzi
Msiwe mnakurupuka kuanzisha thread bila kufanya uchunguzi
Tuwekee picha za Tundu Lisu na walinzi wake pale Ikungi Singida
😃😃
Wewe ni KENGE kwa HERUFI KUBWA huna akili
Wewe hujaolewa? tunajuaje?Kila siku kujifananisha na wazungu mtakuja kuolewa watoto wa kiume kama hao wazungu wanavyofanya
Huu sio ulinzi ni upanya road
Tuanzie hapa kwanza mzungu ni nani?Kila siku kujifananisha na wazungu mtakuja kuolewa watoto wa kiume kama hao wazungu wanavyofanya
Biden anavaa viatu kama vyangu nilivyonunua elf 40 karume
Umekurupuka.
namuona bwana diamond yupo na kibaraka wake....huyu jamaa wa kiarabu ukoko ni miongoni mwa wanaume wa dar ambao huwa nawadharau sana....yaani unaishi na kunawiri kabisaa kwa kula jasho la mwanaume mwenzio!
Teh teh teh kukurupuka ni noma
Kati ya kagame na zelensky nani yupo CCM hapo?Ipo tofauti kati ya ulinzi, usalama na maonyesho ya ulinzi.
Kiongozi mtaani kwenye uwanja wa vita.
View attachment 2524929
Kiongozi mtaani nchini kwake.
View attachment 2524925
Kwamba hatuna ya kujifunza ila labda wajifunze kwetu?
Siyo siri kuna mahali tuna kwama.
Kwa hakika baada ya CCM yapo mengi ya kuwekwa sawa.
namuona bwana diamond yupo na kibaraka wake....huyu jamaa wa kiarabu ukoko ni miongoni mwa wanaume wa dar ambao huwa nawadharau sana....yaani unaishi na kunawiri kabisaa kwa kula jasho la mwanaume mwenzio!