Ulinzi wa viongozi nani alitudanganya?

Ulinzi wa viongozi nani alitudanganya?

Wewe, usiwaone wamarekani hapo wamezagaa ukajua wapo wapo, hakuna jengo hapo ambalo hawana information nalo. Kote kuna details
 
Ipo tofauti kati ya ulinzi, usalama na maonyesho ya ulinzi.

Kiongozi mtaani kwenye uwanja wa vita.

View attachment 2524929

Kiongozi mtaani nchini kwake.

View attachment 2524925

Kwamba hatuna ya kujifunza ila labda wajifunze kwetu?

Siyo siri kuna mahali tuna kwama.

Kwa hakika baada ya CCM yapo mengi ya kuwekwa sawa.
Asee hivi huu upumbavu utawaisha lini?

Picha inapopigwa inapigwa toka kwenye controlled angle

Cameraman anachagua nini uone na nini usione

Kama hujaona kitu sio ujanja wako ni kwamba mpiga picha kachagua usione

Kwenye spy craft wanasema “seeing is not always believing”
 
Hebu uliyeishiwa upumbavu jaribu angle mbali mbali ulete mrejesho:

FB_IMG_1500545818469.jpg

Ninakazia:

FpKL8ABWcAANyqU.jpeg
 
Ulinzi ni muhimu, huwezi jua wapi na lini litakupata janga, tahadhari lazima zichukuliwe, hao wenzetu wametuzidi technology wanaweza kuwa na walinzi wachache lakini wenye vifaa makini zaidi yetu, sisi tunaotumia man power kubwa na vifaa vichache.
 
Hayupo anayebisha hilo, ila msingi wa mada ni tofauti ya ulinzi na ulinzi wa maonyesho.

Screenshot_20230203-080505.jpg

Hii mambo. Kuwekana mabarabarani masaa, wapite. Kweli?
 
Ipo tofauti kati ya ulinzi, usalama na maonyesho ya ulinzi.

Kiongozi mtaani kwenye uwanja wa vita.

View attachment 2524929

Kiongozi mtaani nchini kwake.

View attachment 2524925

Kwamba hatuna ya kujifunza ila labda wajifunze kwetu?

Siyo siri kuna mahali tuna kwama.

Kwa hakika baada ya CCM yapo mengi ya kuwekwa sawa.
Wakwetu ni vibaka wa mali za serikali lazima wajilinde na mitutu na askari zaidi ya 200 kwenye msafara
 
Back
Top Bottom