Ulinzi wa viongozi nani alitudanganya?

Wewe, usiwaone wamarekani hapo wamezagaa ukajua wapo wapo, hakuna jengo hapo ambalo hawana information nalo. Kote kuna details
 
Asee hivi huu upumbavu utawaisha lini?

Picha inapopigwa inapigwa toka kwenye controlled angle

Cameraman anachagua nini uone na nini usione

Kama hujaona kitu sio ujanja wako ni kwamba mpiga picha kachagua usione

Kwenye spy craft wanasema “seeing is not always believing”
 
Hebu uliyeishiwa upumbavu jaribu angle mbali mbali ulete mrejesho:

Ninakazia:

Ulinzi ni muhimu, huwezi jua wapi na lini litakupata janga, tahadhari lazima zichukuliwe, hao wenzetu wametuzidi technology wanaweza kuwa na walinzi wachache lakini wenye vifaa makini zaidi yetu, sisi tunaotumia man power kubwa na vifaa vichache.
 
Hayupo anayebisha hilo, ila msingi wa mada ni tofauti ya ulinzi na ulinzi wa maonyesho.

Hii mambo. Kuwekana mabarabarani masaa, wapite. Kweli?
 
Wakwetu ni vibaka wa mali za serikali lazima wajilinde na mitutu na askari zaidi ya 200 kwenye msafara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…