Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Changamoto sana hiiYeah mkuu, tunaanza kutafuta pesa at 25 an
Utt unaanzia wap?Tupambane mkuu,
Fungua acc bank au UTT kusave
Barikiwa mkuuNenda tawi la CRDB lililo karibu nawe au chek na website yao
Uttamis.co.tz
Nyumba kali sanataget zangu nimiliki nyumba yangu nikiwa na miaka 27 lakini ilipita hata kiwanja Sina mpaka miaka 29 nikapata kiwanja kwa bei nzuri chapu nikanunua kumbe kilikua na migogoro ya kifamilia aisee nilizunguka mahakamani Kama mweu nikipambanaia haki yangu zaidi ya mwaka nikafanikisha .
Then nikajikusanya Sana kwa kujinyima punguza baadhi ya mambo ya siyokua ya maana hadi ndg na najamaa wa vizinga wakanisema Sana me bahili.
Nimefaniki hamia kwangu mwezi wa sita mwaka huu ambapo na miaka 31
nashukuru kwa hili kikubwa tupambane kidg kdg unaweka kitu.View attachment 2675315
Wazidi kupambana tu, kuiheshimu pesa na kuweka nadhili kwamba naweza basi, mfano wakati naanza kujenga nyumba kaka yangu aliniambia nile maisha kwanza kujenga baadae, nikasema ninachopata ntakusanya mdogomdogo mambo yaende na kweli nilihamia kwangu kwa kipindi cha miaka na nyumba ya ukweli ila watu wanajua kuwa nimepanga nawachora tuHongera
Sema neno lolote kwa U30 wasio na nyumba
Kwanini mkuuSio 12 ?
Ni mtazamo wako piamtu amejenga chanika kajumba hakaeleweki alafu anafanya kazi Mjini haoni kabisa adha na gharama yeye kwake muhimu kumiliki nyumba any way ni mtazamo tu.