Ulipo kuna umeme muda huu?

Ulipo kuna umeme muda huu?

Sumbawanga upo kwa karibu zaidi ya 72 zilizopita, na hatutegemei utakata lini.
 
Nauliza tu maana naona watu wa mikoa mitatu wanalalamika umeme umekata.

Je ulipo wewe umeme upo?

Pia soma;

Ligi za soka zimeanza mkuu.
 
Back
Top Bottom