toa ndugu toa ndugu ulicho nacho wewe bwana anakuona mpaka rohoni mwako!Huu ndio wakati wakutoa sadaka kila mtu aanze kujifikiria.
Kanisani sina pesa,
Kilabuni lete pombe.
Halafu huu wimbo lazima kuwe na viherehere wawili yaani anaeseeemaWamtumainio bwana ni kama mlima saluni hawatatikisika milele daima. Milelee daimaa milelee daimaa milele; milele milele milele daima
Wamtumainio bwana ni kama mlima saluni hawatatikisika milele daima. Milelee daimaa milelee daimaa milele; milele milele milele daima
Huu ndio wakati wakutoa sadaka kila mtu aanze kujifikiria.
Kanisani sina pesa,
Kilabuni lete pombe.
nyie watu nadhani tulikuwa woteiende mbele injili hiyooooo