Ulipokua Sunday school pambio gani unakumbuka?

Ulipokua Sunday school pambio gani unakumbuka?

Nimekumbuka mwingine....
Upendo wa Mungu ni mkuuuu
Unapita vitu vyoteeee
Hata milima mirefuuuu

sijui nini na nini........
......
Kwa kuandika Upendo huooo wino unge ee kwishaa.
 
Halafu huu wimbo lazima kuwe na viherehere wawili yaani anaeseeema
Miiiiiiiiiileleeeee
Na kundi la masela wanaitikia
Daimaaaaaaaaaa
Yaaani unaitikia mpaka unasikia koo linataka kung'oka
ha ha ha umetisha
 
Tengeneza safina yako tengeneza uingie huko
Wote: tengeneza safina yako tengeneza uingie huko

Muimbishaji: Ewe baba ewe mama tengeneza safina yako!
 
%%mbinguniiii...kuna makao mazuri sana..mbinguni kwa baba kuna makao mazuri sana%%

%%%jamani parapandaaaa...parapanda italia parapanda×2 ...oooh parapanda!! na hao wateule..watakuwa wamekwisha nyakuliwa......%%%

%%%haleluya tutaonanaa×2 tutaonana mbinguni kwa baba ..haleluya tutaonana.%%%

HIZI WAKATI NIKO MDOGO NILIZIPENDA....SASAHIVI STAKI KABISA...!
 
Back
Top Bottom