Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
ingia ingia uwe mmoja wa wana kondooo
Zaeni matunda meeemaaaa, zaeni yenye baraaaka, zaeni.............................. zaeni ya heeeriiiii, bwanaaa, akiyapokeaaa, yatabarikiwa vemaaaaaaaaaaaaaaaa....................................
nyie watu tulisali wote naonatoa ndugu toa ndugu ulichonacho wewe nilikuwa naona nyama ya kuchoma ileee au maini ya kukaanga baba kapika