Ulipokua Sunday school pambio gani unakumbuka?

Ulipokua Sunday school pambio gani unakumbuka?

Chukua Upanga wako Umkate Shetani... Kata... kata mara moja tena kata mara mbili tena Kata mara tatu Mwisho Tupilia Mbali.. ebaaa
 
Mfupi mfupi ,Zakayo mfupi mfupi tu
Yeye alipata juu ya mti ili amwone Yesu,Yesu alipofika pale akatazama juu akasema!Zakayo shuka chini,nitakuja kwako Leo...
 
Nani mwanaume kama Yesu Halleluuuuya
Nani mwanaume kama Yesu... Haleluu Haleluyah
 
Bwana amenituma niwe spika nimtumkie..
asee hii nyimbo ilinichanganganya sana nilikua siielewi niliona kama tunamtukana mungu
 
Back
Top Bottom