Ulipokua Sunday school pambio gani unakumbuka?

Ulipokua Sunday school pambio gani unakumbuka?

bomouwa

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2014
Posts
1,149
Reaction score
800
Habari wanajamvi?
Unalikumbuka hili pambio?
"Zilieatokeeni (pa pa pa[emoji122] ),zilizogawanyika (makofi tena) kama ndimi za moto,zilizojawa roro mtakatifuuuuuuuuuuu
Chorus
Zilitiririkaaaaaaa
(kiitikio) tiririkaaaaa

Asee hiyo chorus ilikua inaimbwa kwa mlipuko mixer mchanganyiko wa mitoto kibaaaao natamani nijirekod audio hapa msikie.
Kwel sasa uzee unakaribia.
Ebu tupia pambio lililokua linakuvutia
 
Wamtumainio bwana ni kama mlima saluni hawatatikisika milele daima. Milelee daimaa milelee daimaa milele; milele milele milele daima
Halafu huu wimbo lazima kuwe na viherehere wawili yaani anaeseeema
Miiiiiiiiiileleeeee
Na kundi la masela wanaitikia
Daimaaaaaaaaaa
Yaaani unaitikia mpaka unasikia koo linataka kung'oka
 
Nilitaka kushangaa kama kuna Mkatoliki angechangia hapa.

Wakatoliki hatuna Sunday School.
 
Back
Top Bottom