Ulipokua Sunday school pambio gani unakumbuka?

Samsoni Samsoooni...
Nyweleee (hapa wanaimba wale viherehere alafu washkaji wanaitikia...) nywele zake zilikuwa ndefu, alikuwa bado kunyolewa.... Taaaangu kuzaliwa (viherehere) , (washkaji) toka tumboni mwa mamayeee...
 
Ahahahaha!those long old days!
Musa nenda nenda nenda nenda kwa Faraooo!
Nenda Ukaokoe Wana Israel!
 
Samsoni Samsoooni...
Nyweleee (hapa wanaimba wale viherehere alafu washkaji wanaitikia...) nywele zake zilikuwa ndefu, alikuwa bado kunyolewa.... Taaaangu kuzaliwa (viherehere) , (washkaji) toka tumboni mwa mamayeee...
ahahah!
 
Mahali pa raha ya moto wangu
Akukingiaye mabaya nani ...
Dunia haina makiimbilio
Siipo siiipo hapa zipo...× 2
 
Nina Ndoo Yangu eenh Yakuchota Maji eenh Maji ya Barafu Eeenh

Watoto msitizame Nyuma... Yai bovu linapita.....

(Sunday School Sunday School Naipenda Sunday School...)

Hap Zamani mmmmmmhhhmmmmhh
Ngoja Nikuambie mmmmmmmh mmmmmmmmhhhh
 
Halafu huu wimbo lazima kuwe na viherehere wawili yaani anaeseeema
Miiiiiiiiiileleeeee
Na kundi la masela wanaitikia
Daimaaaaaaaaaa
Yaaani unaitikia mpaka unasikia koo linataka kung'oka
Nimecheka sana...
 
Umenikumbusha mbaaaaaaali hebu niambie wewe kwenu wapi maana naona kama tulikiwa wote kipindi hicho[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…