ngosha wa mwanza
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 5,059
- 15,862
Ndiyo maana kwangu nilipiga vita TV kuwa Sebuleni. Naamini mgeni anakuja nyumbani kwangu kwa mazungumzo si kutizama TVKuna nyumba nilienda watoto wale walinishangaza sana, imagine mtoto anaangalia katuni mtu mzima ukiingia anatoa katuni na kuweka channel ya kawaida na remote anaweka mezani. Nilibaki mdomo wazi 😁😁
Ndiyo maana kwangu nilipiga vita TV kuwa Sebuleni. Naamini mgeni anakuja nyumbani kwangu kwa mazungumzo si kutizama TV
Ukoloni huuNdiyo maana kwangu nilipiga vita TV kuwa Sebuleni. Naamini mgeni anakuja nyumbani kwangu kwa mazungumzo si kutizama TV
Mimi nakaa shamba, kwa mantiki hiyo mimi ni MshambaHuo ni ushamba wako tuu.
Mimi nakaa shamba, kwa mantiki hiyo mimi ni Mshamba
Mwana wa pahayaTabia za wanyiha Ni noma muda wa kula wageni watoto wanatumwa wakavune Kahawa
Hutaki utani mzee. Ila kuna watoto wengine wa maadili ya hovyo sana.Natembeza nakooz mpk wanikimbie
Ulitaka wasulubishwe au mtoto sio kila kosa ni kumbondaNipo Ugenini huku Mikoa ya Kaskazini, nimekuta kwenye hii familia watoto wana tabia ambayo imenishangaza sana na wazazi wanachukulia poa tu,
Jana tulikwenda sehemu wakanitembeze nione miazingira wakati tunataka kwenda watoto walitaka kwenda nasi, wazazi wakasema wababi wafanye kazi za shule wao watawatoa siku za weekend, watoto hawakuridhia wakabaki wanalia japo kiumri wanaonekana si wa kulia kwa kuachwa.
Kasheshe lilianza tuliporudi, Watoto wakagoma kufungua mlango wa nyuma wanasema tulale nje kwa kuwa tuliwaacha, geti tulifungua kwa funguo ambayo baba mwenye nyumba alikuwa nayo ila ya ndani ndiyo hana, tulikaa nje zaidi ya saa moja na nusu wazazi wakibembeleza watoto wafungune na watoto wanasema hawafungui mpaka Mama akaanza kumwambia mumewe wampigie fundi wavunje.
Baadae Dada wa kazi akarudi ambaye alikuwa kaenda kusuka akawaambia anawaomba wamfungulie ndipo walipofungua na sisi tukaingia.
Cha ajabu wazazi wakasema mnajua kujifungia ndani sio jambo zuri mtakuja kupata madhara, kwanza mmeoga, hebu nendeni muoge mje tule na kesi ikawa imeishia hapo.
Automatically nina sura ya kutisha hivyo niwapo karibu yao ni fire fireHutaki utani mzee. Ila kuna watoto wengine wa maadili ya hovyo sana.
Automatically nina sura ya kutisha hivyo niwapo karibu yao ni fire fire
Ooh mm sitaki utani na watoto ambao hawana adabu na heshima 😂Wanalia wenyewe