Ulipomfumania umpendaye ulichukua hatua gani?

Mimi nilifariki
 
sijawahi kupenda au kupendwa natamani itokee hata siku moja ili nijue mabadiliko ya hisia ndani ya moyo wangu yanakuwaje cos nasikia watu wakiumizwa japo sina imani kuwa naweza umizwa na mwanadamu anaeishi chini ya jua
 
Km nyie mnavyo tupanga kisirisiri
 
Kama unamphamacia uliyemzoea mwelezee atavikupa ni vizuri havina madhara zaidi yakuumwa baada ya kutapika tu lazima uwe mugonjwa kidogo kutokana na vihali vyakutapika
Mnajiona sasa mlivyo na miujiza note wadada, [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…