KotelaMamba
JF-Expert Member
- Apr 8, 2020
- 828
- 1,506
Wakuu,
Kuna yale mahusiano ambayo huwa hayazai ndoa wala hayazai ugomvi...mnaachana for good kabisa!! Japo mmoja lazima aumie, unakuta ndio hivyo no way out.
Sasa mimi nimefurahi sana baada yakuona one of my old friend na mdada tuliyependana sana amekuwa engaged na Ndoa yao itakuwa hivi karibuni.
Huyu binti wa Yesu, alikuja kwenye maisha yangu kipindi ambacho ninahitaji sana kuoa, miaka 10+ ishaisha sasa.
Niliogopa kumuoa she was superior kwenye mambo mengi, uwezo wangu kummudu ulikuwa mdogo, yeye hakujua hilo, ila nilimpa sababu nyingine tu, nikafanikiwa.
Yeye ndiye aliyeanza kutaka Mahusiano na mimi.
Nilikuwa namkwepa balaa, ni ex ambaye hata kimwili nilikutana naye mara mbili tu kipindi chote cha mahusiano yetu na tulikuwa tunaishi mji mmoja...
Nilifanikiwa kuoa mtu mwingine.
Uzuri aliweza hadi kuhudhuria harusi yangu, ila malalamiko hayakuisha kabisa, alijitahidi mara nyingi kunionyesha kuwa nilikosea kutokumuoa.
Tulikuwa tunaonana mara nyingi kanisani, malalamiko yaliendelea kimya kimya hadi akazoea. Kwa kweli alikuwa ni mtu mwema sema tu kwa kipindi kile, nilijua singefit kabisa.
Muda umeenda sana, ndio anaolewa sasa...
Nimefurahi sana!!
Natafuta namna nimpongeze.
Vipi nyie wakuu nani alishapata habari za Ex wake kuoa au kuolewa akafurahi?
I don't feel guilty anymore!!
Nawaombea kwa Mungu wawe na Ndoa njema kabisa.