Ulishasikia Ex wako anaolewa/anaoa, Ukafurahi?

Hadi kugeuka kuitwa X, inaonesha kuna mambo yaliyojitokea kupelekea mahusiano yenu kufikia mwisho

Ni jambo la kawaida kwenye maisha yetu

Binafsi nilifurahi kuona dear x amepata mtu sahihi wa kuweza kumuoa, ninao wawili watatu hadi mchango wa harusi nilitoa

Hakuna haja ya kugombana kumnunia ex girlfriend/boyfriend anapopata mtu sahihi kukuzidi

Wanaachana mke na mume ndiyo iwe mchumba/mpenzi

Maisha lazima yaendelee 🥂
 
🍻 kabisa
 
Back
Top Bottom