Ulishasikia Ex wako anaolewa/anaoa, Ukafurahi?

Ulishasikia Ex wako anaolewa/anaoa, Ukafurahi?

Mkuu alikuzidi nini elimu? Au alikua ni pisi kali ukahisi hautakua pekeako kwake?

Na kwanini mlifanya mara 2 tu? Alikua msimamo mkali anakubania?
 
Nilitamani kabisa kumuoa, ila kwao mambo safi kwetu choka mbaya kwa kipindi hicho nisingemuweza kabisa, alinihakikishia kuwa kwao hakuna shida nikimuoa,wazazi na ndugu zake ni waelewa, weeeee nilitolewa baru sitosahau, nilikimbizwa mji, nusu waniue, ukoo mzima walikua agaist me, nikasema isiwe shida nikakata mazoea ,hata kwetu walinisihi nisithubutu kabisa, akapelekwa kusoma abroad , miaka mi4 baadae akanitafuta ase tuliongea mengi sana, alikuwa tayari kwa chochote. ila hata mimi baada ta kutuliza akili niliona kabisa kuwa yasemwayo ni kweli simwezi huyu binti. hawezi kula hata ugali au wali mara mbili kwa wiki, mafuta yake tu yakujipaka ni gharama za kulipia maji,umeme,taka,mlizi,na gesi hahahahaha nikaamua kuoa tu mwingine, kwa sasa ninamiaka 6 kwenye ndoa, yeye ndoa yake ni mwezi wa 12 mwaka huu 2026, kipindi chote hiki tunawasiliana nae vizuri tu, nimefurahi sana kuolewa kwake, na amenialika kama mgeni maalum mimi na masela zangu, nitashiriki InshaAllah, huwezi amini mimi hadi sasa ndo mshauri wake wa mambo mengi sana, akiniomba ushauri kwenye jambo nikichanganya na akili za chart Gpt ase huwa nampa ushauri wa uhakika sana, ananikubali sana hadi sasa, tunabaki kuwalaumu wazazi na ndugu zake kwakutuachanisha
Vp ukimuhitaji bado yupo available?
 
Vp ukimuhitaji bado yupo available?
Kwakuwa tayar nimeshaoa kwakwel najitahidi sana kumkwepa, mara kadhaa ameniambia tukutane japo tupate lunch ila najitia ubize wa kazi, maana najua tukionana tu ni hatari sana, naogopa kumuumiza mkewangu wa ndoa maana ananiamini sana sihitaji kumuumiza
 
Kwakuwa tayar nimeshaoa kwakwel najitahidi sana kumkwepa, mara kadhaa ameniambia tukutane japo tupate lunch ila najitia ubize wa kazi, maana najua tukionana tu ni hatari sana, naogopa kumuumiza mkewangu wa ndoa maana ananiamini sana sihitaji kumuumiza
Si poa.
Kuna Rafiki yangu mmoja aliniambia alijaribu kumpa ex wake aliyeko kwenye ndoa mzigo.
Aliwashwa sehemu za siri hadi kulazwa hospital huyo Dada.

Huyo jamaa ni kiongozi, mheshimiwa.
Nilicheka sana.
 
Back
Top Bottom