Psalm_23
JF-Expert Member
- Aug 18, 2026
- 2,760
- 5,144
Duh ngoja tuone...Its happen, unaenza nae ndio unamaliza nae

InawezekanaDuh ngoja tuone...
InshalaaahAnother time
Hapo atasikia kaupepo tu, ukute keshatia na kamnyweso kidogo hapo...Kuna msemo mmoja unasema "suruali ya mtu mzima asiyevaa boksa ikifukuka kwa nyuma hana budi kuchutama".
Duh wengine hatujazoea wanawake mkuuInawezekana
Watu wanamchungulia tu! Wala haipendezi 🥲Hapo atasikia kaupepo tu, ukute keshatia na kamnyweso kidogo hapo...
Ndiooo woteeWakuu,
Kuna yale mahusiano ambayo huwa hayazai ndoa wala hayazai ugomvi...mnaachana for good kabisa!! Japo mmoja lazima aumie, unakuta ndio hivyo no way out.
Sasa mimi nimefurahi sana baada yakuona one of my old friend na mdada tuliyependana sana amekuwa engaged na Ndoa yao itakuwa hivi karibuni.
Huyu binti wa Yesu, alikuja kwenye maisha yangu kipindi ambacho ninahitaji sana kuoa, miaka 10+ ishaisha sasa.
Niliogopa kumuoa she was superior kwenye mambo mengi, uwezo wangu kummudu ulikuwa mdogo, yeye hakujua hilo, ila nilimpa sababu nyingine tu, nikafanikiwa.
Yeye ndiye aliyeanza kutaka Mahusiano na mimi.
Nilikuwa namkwepa balaa, ni ex ambaye hata kimwili nilikutana naye mara mbili tu kipindi chote cha mahusiano yetu na tulikuwa tunaishi mji mmoja...
Nilifanikiwa kuoa mtu mwingine.
Uzuri aliweza hadi kuhudhuria harusi yangu, ila malalamiko hayakuisha kabisa, alijitahidi mara nyingi kunionyesha kuwa nilikosea kutokumuoa.
Tulikuwa tunaonana mara nyingi kanisani, malalamiko yaliendelea kimya kimya hadi akazoea. Kwa kweli alikuwa ni mtu mwema sema tu kwa kipindi kile, nilijua singefit kabisa.
Muda umeenda sana, ndio anaolewa sasa...
Nimefurahi sana!!
Natafuta namna nimpongeze.
Vipi nyie wakuu nani alishapata habari za Ex wake kuoa au kuolewa akafurahi?
I don't feel guilty anymore!!
Nawaombea kwa Mungu wawe na Ndoa njema kabisa.
Mdau umeandika kinyonge sanaNimengi kwnye moyo wangu. Ila ndo hivyo end is end
HongeraNdiooo wotee
Ongezea nyama kidogoNimengi kwnye moyo wangu. Ila ndo hivyo end is end
Aisee una unconditional love jamaaWakuu,
Kuna yale mahusiano ambayo huwa hayazai ndoa wala hayazai ugomvi...mnaachana for good kabisa!! Japo mmoja lazima aumie, unakuta ndio hivyo no way out.
Sasa mimi nimefurahi sana baada yakuona one of my old friend na mdada tuliyependana sana amekuwa engaged na Ndoa yao itakuwa hivi karibuni.
Huyu binti wa Yesu, alikuja kwenye maisha yangu kipindi ambacho ninahitaji sana kuoa, miaka 10+ ishaisha sasa.
Niliogopa kumuoa she was superior kwenye mambo mengi, uwezo wangu kummudu ulikuwa mdogo, yeye hakujua hilo, ila nilimpa sababu nyingine tu, nikafanikiwa.
Yeye ndiye aliyeanza kutaka Mahusiano na mimi.
Nilikuwa namkwepa balaa, ni ex ambaye hata kimwili nilikutana naye mara mbili tu kipindi chote cha mahusiano yetu na tulikuwa tunaishi mji mmoja...
Nilifanikiwa kuoa mtu mwingine.
Uzuri aliweza hadi kuhudhuria harusi yangu, ila malalamiko hayakuisha kabisa, alijitahidi mara nyingi kunionyesha kuwa nilikosea kutokumuoa.
Tulikuwa tunaonana mara nyingi kanisani, malalamiko yaliendelea kimya kimya hadi akazoea. Kwa kweli alikuwa ni mtu mwema sema tu kwa kipindi kile, nilijua singefit kabisa.
Muda umeenda sana, ndio anaolewa sasa...
Nimefurahi sana!!
Natafuta namna nimpongeze.
Vipi nyie wakuu nani alishapata habari za Ex wake kuoa au kuolewa akafurahi?
I don't feel guilty anymore!!
Nawaombea kwa Mungu wawe na Ndoa njema kabisa.
Ok mkuu mimi maex zangu mwaka huu wameolewa wawili. Sinaga muda nao ila wao ndio hunitafuta kunijulishaUnamaanisha Dodoma?
Hapana...
Super sana...Ok mkuu mimi maex zangu mwaka huu wameolewa wawili. Sinaga muda nao ila wao ndio hunitafuta kunijulisha
Walichokitegemea kwako hawakukipataSina chuki nao maana "Baba huruma" niliwapenda kila mmoja kwa nyakati yake ila wao kwangu ni chuki ya hatari mpaka kesho.
watajijua wenyewe na fungu lao walopangiwa.
Mimi si reserve player/spare....
Kwake, ni kweli.Aisee una unconditional love jamaa