Ulishasikia Ex wako anaolewa/anaoa, Ukafurahi?

Ndiooo wotee
 
Aisee una unconditional love jamaa
 
Sina chuki nao maana "Baba huruma" niliwapenda kila mmoja kwa nyakati yake ila wao kwangu ni chuki ya hatari mpaka kesho.
watajijua wenyewe na fungu lao walopangiwa.
Mimi si reserve player/spare....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…