Ulishasikia Ex wako anaolewa/anaoa, Ukafurahi?

Mkuu alikuzidi nini elimu? Au alikua ni pisi kali ukahisi hautakua pekeako kwake?

Na kwanini mlifanya mara 2 tu? Alikua msimamo mkali anakubania?
 
Vp ukimuhitaji bado yupo available?
 
Vp ukimuhitaji bado yupo available?
Kwakuwa tayar nimeshaoa kwakwel najitahidi sana kumkwepa, mara kadhaa ameniambia tukutane japo tupate lunch ila najitia ubize wa kazi, maana najua tukionana tu ni hatari sana, naogopa kumuumiza mkewangu wa ndoa maana ananiamini sana sihitaji kumuumiza
 
Si poa.
Kuna Rafiki yangu mmoja aliniambia alijaribu kumpa ex wake aliyeko kwenye ndoa mzigo.
Aliwashwa sehemu za siri hadi kulazwa hospital huyo Dada.

Huyo jamaa ni kiongozi, mheshimiwa.
Nilicheka sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…