Ulishawahi kudate na mtu ambaye hata iweje hutamani kurudiana naye?

Akauchukua mkono akaunyonga kwa nyuma aloooh! Nilihisi kufa hii siku na nilijuta kuzaliwa, alivyo mshenzi sasa nilikuwaga sijampa kama wiki1 hivi nilimwambia tusubiri siku hatari zipite, hii siku alitumia kama fursa akanibaka bila ridhaa yangu.
Ko ulibakwa??๐Ÿ˜
 
Mjinga wewe uoni kama ulimchikoza mwnyw
 
Kwahiyo jukumu la kumpikia boyfriend ni la kwangu??
ulizingua ndio maana hatuwaoi ukiwa na boyfriend hadi anakuita kwake mnalala wote timiza majukumu kama mke na yeye ukitoka aone gape lako sasa papuchi unatoa vizuri tu eti kupika hutaki unaona ni kitu kikubwa Sana utamfanyia kuliko kukuchapa machine! hata mm yupo mmoja ninae simuoi ng'odo na nikitaka kuoa namuoa rafiki yake mmoja ivi ananidhamu sana kuliko yeye
 
Kila siku nilikuwa napika lakini hiyo siku sikujisikia tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ