Ulishawahi kufikiria kitu halafu ukakikuta kwenye Mitandao ya kijamii?

Umeongea boonge la point, JF walichukue hili na kulifanyia kazi.
Kwa JF inawezekana lakini sio kama kwenye Mitandao mingine ya kijamii coz hii ni Forum tu.
Humu ili uone post za wale unaowapenda inabidi Uwafollow kwanza. Ukishafollow nenda hapo kwenye News Feed

Ukishafungua hapo post tu za uliowafollow ndio utaziona.
Kwangu haionekani coz sijafollow
 
huwa natumia sana youtube kutafuta tutorial mbalimbali zinazohusu matumizi ya digital devices.

kila ninapo search, naletewa tutorial za wahindi. changamoto kubwa ya tutorial za wahindi ni lugha.

wengi wao wanatumia kihindi na kidogo kingereza ambacho sio rahisi kueleweka kwa mtu ambaye sio wa jamii ya kihindi.

niliwahi kusoma article moja ikizungumzia tatizo hili, niliona mpaka wazungu wakilalamika. imebainika kwamba wahindi wengi wame dominate eneo hilo la kutoa tutorials kule youtube.

nawezaje kublock tutorials za wahindi?.nataka nikiwa youtube, ninapo search let say "How to perform Factory Reset on Android", niwe naletewa content zenye lugha kingereza tu.
 
Ni kweli kabisa wahindi wamejazana huko nadhani hii ya wao kuonekana zaidi itakua kwasababu Viongozi/watendaji wengi wa Google wanatokea India so wanawabeba vijana wao.
Nina theories 2 nahisi zinaweza tatua shida yako

1: Kwenye setting huko chokonoa ubadirishe location yako ionekane upo nchi za ulala. Ikiwezekana tumia vpn pia

2: Nenda YouTube search tutoring yoyote kisha tafuta kwa makini ambago itakua inaongozwa na wazungu. Nadhani kipitia hiyo zinaweza kujitokeza chanel zingine za wazungu
Ikiwa utafungua kwa kukosea chanel za wahindi basi nenda Setting kisha Delete cookies na caches
 
asante....acha nijaribu.
 
Google na makampuni ya mitandao ya kijamii kijamii wanashirikiana kulink taarafia wenyewe wanaita Web Data Collection. Kuna Machine Learning zinafanya kazi hiyo
Ni kweli. Juzi nilienda shopping center fulani nikaingia kwenye duka lenye vipodozi. Kufika nyumbani nikaingia facebook kwenye computer nikakutana na matangazo ya bidhaa nilizoziona dukani.
 
Ni kweli. Juzi nilienda shopping center fulani nikaingia kwenye duka lenye vipodozi. Kufika nyumbani nikaingia facebook kwenye computer nikakutana na matangazo ya bidhaa nilizoziona dukani.
Walishacheza na location yako, sio lazima uwe umeiwasha ili wajue ulipo.
Mimi kuna mkoa nilikuwepo, nilipotoka kufika huku nilipo nikaanza kuona watu fb niliokua nawaona mtaani. Wengine sifahamiani nao nawajua kwa sura hata namba zao sina
 
Walishacheza na location yako, sio lazima uwe umeiwasha ili wajue ulipo.
Mimi kuna mkoa nilikuwepo, nilipotoka kufika huku nilipo nikaanza kuona watu fb niliokua nawaona mtaani. Wengine sifahamiani nao nawajua kwa sura hata namba zao sina
Ni kweli. Location ndiyo inaonyesha. Mimi kila wiki napata summary ya sehemu nilizopita kutoka Google.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] algorithm ni noma ilinilazimu kupenda hesabu.Watu wa IT,computer science na software engineering wanaelewa moto wa hayo madude.
Ni noma kasome Euclidian Algorithm utakimbi
 

Nimekuelewa vizuri, na naendelea na utafiti wangu kuhusu internet
 
Nadhani bila ya kwenda settings
Jaribu kila unapokuwa unatafuta hizo tutorials chagua za wazungu mara kwa mara hizo za wahindi zitapotea zenyewe
 
Ni kweli. Location ndiyo inaonyesha. Mimi kila wiki napata summary ya sehemu nilizopita kutoka Google.
Kama haina umuhumu kwako kupata taarifa hizo tafadhali kazifunge kwenye Permission ya Google Map. UnajiExpose zaidi kwa internet. Inaweza ikatokea siku ukatamani isiwezekane mtu kukusachi mitandaoni.

Ndio maana mm FB hakuna anayeweza kunisearch, jina nalotumia sio sahihi, sikoment wala kulike vitu. Naangalia tu yale ninayoyapenda napita hivi. Youtube,Insta, Twitter situmiii. Angalau youtube kiasi kama nataka nyimbo ndio naenda.
 
Ndio maana na D langu la math nilitaka kuchua tena comp kama opt subj a level ticha akaniambia acha dogo utataga 😃
Na ungetaga kweli, nilishangaa sana kukuta Logarithms kwenye masuala ya Network loh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…