Ulishawahi kufikiria kitu halafu ukakikuta kwenye Mitandao ya kijamii?

Sorry for any inconveniences Pal's,
I'm not good enough in "information technology stuffs"........ I need a little bit of clarification on the word "HTML"?

In Swahili language - it sound well

Thanks Pal's
Da'Vinci raraa reree
HTML kwa kirefu ni HyperText Markup Language, ni aina ya Markup language inayotumika kudesign Websites mbalimbali. Hata hii JF imetengenezwa kwa kutumia HTML. Sema ili Html hua inahitaji usaidizi wa Cascading Style Sheet (CSS) kwa ajili ya kuremba muonekano wa Website. Unaona hiiz rangirangi humu na madoido mengine basi hiyo ni CSS sometimes pia hua inatumia Java Script .

Kiufupi ni kwamba kila Documents ambazo hua zinaonekana kwenye Web Browser hua zinatumia HTML ili ziweze kukaa hapo. Ila kwa kutengeneza Apps huwezi kutumia HTML
Aliyetengeneza HTML ni yuleyule aliyetengeneza Internet, Tim Burners Lee.
 
HTML kwa kirefu ni HyperText Markup Language, ni aina ya Markup language inayotumika kudesign Websites mbalimbali. Hata hii JF imetengenezwa kwa kutumia HTML. Sema ili Html hua inahitaji usaidizi wa Cascading Style Sheet (CSS) kwa ajili ya kuremba muonekano wa Website. Unaona hiiz rangirangi humu na madoido mengine basi hiyo ni CSS sometimes pia hua inatumia Java Script .

Ahsante kwa ufafanuzi mzuri Sir Random Person.

Mawazo yako please kuhusiana na mada hii mtambuka?
We just path
 
Kwani naelewa sasa 🙄😜
 
Sawa haina shida Sir, ahsate kushukuru
 
Three weeks ago nilikuwa staff tunapiga story tukaanza kuongelea mashoga. . aise baada ya kuingia kwa simu ni suggestions groups za mashoga tu aise.

Davinci unazungumziaje ujio wa CHAT GOT 4
 
Naiandalia topic yake maalumu
 
Kuna movie inaitwa the social dilemma inafumbua sana macho kuhusu hizi social media
 
Back
Top Bottom