Ulishawahi kukataliwa kwasababu hukuwa na kitu kisha ukaja kukubaliwa baada ya kupata?

Ulishawahi kukataliwa kwasababu hukuwa na kitu kisha ukaja kukubaliwa baada ya kupata?

Yote haya sababu kubwa ni umasikini wetu hakuna lingine. Imagine wote mnatoka middle class families, wote mna walau kipato kinaeleweka, kila mtu anaweza kubeba majukumu yake walau kwa kiasi kikubwa, hatuwezi kuja na hizi drama.

Mtu unatoka familia Mungu ndio anajua, wewe mwenyewe Mungu ndio anajua, it's obvious utahitaji mtu atakayekujali kifedha kwanza kabla ya kihisia.

Tupambane na huu umasikini ndugu zangu, ili tufikie mahali mtu uingie katika mahusiano sio kwa vile yule dada ana pesa au kwa vile yule kaka yuko vizuri. Such relationships are like slavery!!!
Kabisa!! Umemaliza 🙏🙌
 
Wapo wanawake wanaowaelewa jamaa zao ambao wana maisha ya kawaida tu. Kuna sista mmoja ni Kigogo kwenye kampuni moja kubwa ya kuchimba dhahabu kanda ya ziwa. Ana mume wake choka ya kawaida tu, kamzidi kiuchumi zaidi ya mara 20. Lakin hiyo heshima na love anampa jamaa yake usipime. Hawezi kufanya kitu bila ruhusa ya jamaa. Ingekuwa dada zetu hawa sasa
Kuna wanaume wana bahati
 
Ni miti aliyokuwa anakupiga ilikufikisha.. Inaonekana alikuwa anakujulia kukukuna na kukukojelesha kiasi kwamba hata ukifikiria kuondoka uziache hizo raha unashindwa. Nguvu kubwa ya wanaume tuliyo nayo ni mikandamizo na mikito ya kitandani. .Basi
🥂Chief
 
[emoji56]
JamiiForums-713150946.jpg
 
Its either utafute pesa au usubiri kupendwa 😀
Hebu wanaume tafuteni pesa.hii mambo ya kiuno msingi hayafai kabisa.

Hakuna ugonjwa mbaya kama ukiwa huna pesa.

Unafikiri unapigaaaana basi ili upate mijihela kama ya bharesa...hapana ni pesa tu ya kukutosha wewe na familia yako.

Kama hujapitia maisha ya kimasikini...jamaa acha aiseh
 
Kuna tifauti kubwa kati ya mapenzi au upendo wa kweli kutoka ndani ya moyo na biashara ya mbususu.
wanaume pekee ndio wenye mapenzi yakweli kwa wapenzi wao
Kama bado unamuhitaji mambo yaendelee, kama haumtaki basi....

Kumpenda mtu asie na kitu yani hohe hahe yataka moyo nyie!!! Hata ukifanya nae haupati utamu kabisa
 
Hebu wanaume tafuteni pesa.hii mambo ya kiuno msingi hayafai kabisa.

Hakuna ugonjwa mbaya kama ukiwa huna pesa.

Unafikiri unapigaaaana basi ili upate mijihela kama ya bharesa...hapana ni pesa tu ya kukutosha wewe na familia yako.

Kama hujapitia maisha ya kimasikini...jamaa acha aiseh
Very true, hakuna ugonjwa mbaya kama kuwa broke. Unaona vijana wengi sasa hivi nao wanahitaji kuwa na wadada wenye pesa, yaani kijana anaangalia wapi atapata mwanamke mwenye pesa. Mbaya sana hii...Ila ni huu umasikini wetu tu, I wish tungekuwa na ahueni ya maisha, mtu ujiingize kwenye mahusiano kwa sababu umependa sio kwa vile dada ana pesa.

Umasikini kitu kibaya sana!!
 
Kuna boya mmoja nilimpendaga aise hata hamsini mbovu alikuwa hanipi(hana hela)lakini ulikuwa huniambii kitu loh....nilishindwa maana tulikuwa tukikaa hazijapita dakika mbili tushakwaruzana kha!!muda wote kajawa na amri tu [emoji17][emoji17]siku nyingine natamani kudeka deka..basi hata nikitengeneza mazingira ya kubadilisha sauti iwe kama ya Celine Dion ohooooo...nakutana na sura ya vita...woooooiiii..

Na ubandidu wake hivyo hivyo loh.Shikamoo mapenzi marahaba sit down.kha
Huwa mnapendaga wachimbachumvi [emoji1787]
 
Nilimtongoza laivu ,nikawa namtoa hela za hapa na pale niliwahi pika msosi nikampelekea ofisini lilikuwa bonge la msosi minyams nyama kibao .

Mwisho wa siku niliambulia patupu nikaonekana fala iliniuma Sana , halafu eti effort zote nilizofanya eti nkkasikia anatamani kuliwa na mchizi wangu .

Nikasema poa Kama sitokukula leo nitakukula baadae au Kuna bahari ataniwakilisha kwa maumivu Yale Yale niliyoyapata .

Anyway Mimi huwa Ni mzee hit and run Ila kwa huyu binti nilitaka niweke mstakabali mzuri wa maisha niachane na uzinzi Ila ndio hivyo [emoji15]

Nimerudi ground zero Ni mwendo wa kimasihara [emoji1787]
 
Very true, hakuna ugonjwa mbaya kama kuwa broke. Unaona vijana wengi sasa hivi nao wanahitaji kuwa na wadada wenye pesa, yaani kijana anaangalia wapi atapata mwanamke mwenye pesa. Mbaya sana hii...Ila ni huu umasikini wetu tu, I wish tungekuwa na ahueni ya maisha, mtu ujiingize kwenye mahusiano kwa sababu umependa sio kwa vile dada ana pesa.

Umasikini kitu kibaya sana!!
Aiseh acha kabisa..nikikumbuka maisha ya kwanzia mwaka 98-2004 daah hayo maisha Sitaki kuyakumbuka aise...
 
acha
Kama bado unamuhitaji mambo yaendelee, kama haumtaki basi....

Kumpenda mtu asie na kitu yani hohe hahe yataka moyo nyie!!! Hata ukifanya nae haupati utamu kabisa
acha urongo! sisi hohe hahe tusikuwa na mbele wala nyuma, kwenye swala la kutoa utamu tunajituma sana, hatuna masihara kwenye sekta ya "wewe mpelekee moto"
yani hela huna, maisha huna na utamu ushindwee kuutoa!
 
Kuna boya mmoja nilimpendaga aise hata hamsini mbovu alikuwa hanipi(hana hela)lakini ulikuwa huniambii kitu loh....nilishindwa maana tulikuwa tukikaa hazijapita dakika mbili tushakwaruzana kha!!muda wote kajawa na amri tu 😔😔siku nyingine natamani kudeka deka..basi hata nikitengeneza mazingira ya kubadilisha sauti iwe kama ya Celine Dion ohooooo...nakutana na sura ya vita...woooooiiii..

Na ubandidu wake hivyo hivyo loh.Shikamoo mapenzi marahaba sit down.kha
Hahahahahah kumbe ulishawahi kupenda aisee!
 
Back
Top Bottom